ARSENAL YAPATA PIGO

ARSENAL YAPATA PIGO

Like
242
0
Tuesday, 26 July 2016
Slider

Klabu ya Arsenal imepata pigo baada ya nyota wake Per Mertesacker kuripotiwa kuwa atakaa nje ya uwanja kwa muda wa miezi 5 akisumbuliwa na maumivu ya jeraha la goti.

Beki huyo sasa ameondolewa kwenye msafara wa kikosi kitakachokuwa ziarani nchini Marekani kujiandaa na msimu mpya wa ‪#‎epl‬ utakaoanza mwezi ujao.

Kwa mantiki hiyo inapotiwa kuwa nyota huyo atakaa nje ya dimba hadi mwaka mpya.

Comments are closed.