May aunga mkono uchunguzi dhidi ya Cambridge Analytica
Global News

Waziri wa Mkuu wa Uingereza Theresa May Jumatano ameunga mkono uchunguzi dhidi ya kampuni ya utafiti ya Cambridge Analytica, katikati ya mgogoro unaoikabili kwa madai ya kutumia vibaya takwimu za mtandao wa Facebook. “Kile tulichokiona katika kampuni hiyo ya Cambridge Analytica, shutuma hizo ni wazi kabisa zinatia wasiwasi, ni sawa kabisa kwamba ni lazima uchunguzi kamili ufanyike,” May ameliambia Bunge la Uingereza. Amesema kuwa hafahamu kama kulikuwa na mikataba yoyote kati ya serikali na kampuni ya Cambridge Analytica au makampuni...

Like
293
0
Wednesday, 21 March 2018
WANAFUNZI WA KIKE 110 WAACHIWA NA BOKO HARAM
Global News

...

Like
503
0
Wednesday, 21 March 2018
Marais wa nchi za Kiafrika huko makao makuu ya Umoja wa Afrika, Addis Ababa, Ethiopia
Global News

  Marais 27 wa bara la Afrika Jumatano wamesaini makubaliano ya kuanzisha soko huria barani Afrika huko nchini Rwanda. Pia marais hao wamepongeza uamuzi huo na kusema kuwa hiyo ni hatua ya mwanzo kabisa ya kuleta mapinduzi ya kujikwamua kiuchumi katika bara hilo. Rais wa Rwanda Paul Kagame ambaye pia ni mwenyekiti wa Umoja wa Afrika (AU) amesema kwamba ufanisi wa makubaliano haya utategemea zaidi utekelezaji wa mikataba ya umoja wa kanda ambayo imekuwepo kwenye bara hilo kwa miaka mingi...

Like
496
0
Wednesday, 21 March 2018
MABOMU YA MACHOZI BUNGENI
Global News

  WABUNGE WA UPINZANI WATINGA NA MABOMU YA MACHOZI BUNGENI Wabunge wa upinzani nchini Kosovo wamerusha mabomu ya machozi katika ukumbi wa bunge nchini humo wakiwa na lengo la kukwamisha mpango wa kupiga kura za maoni juu ya makubaliano ya mpangilio wa mpaka kati ya Kosovo na Montenegro. Mpango huo uliotakiwa kuanza jumatano ya leo ulikwama baada ya Wabunge hao wa Chama cha Self-Determination Movement kulazimisha wabunge kutawanyika na kutoka nje ya Bunge. Jumla ya kura 120 zilitarajiwa kukusanywa bungeni...

Like
406
0
Wednesday, 21 March 2018
KAMANDA MURILO ASEMA KUHUSU AFISA BALOZI WA SYRIA
Local News

    Kamanda wa jeshi la Polisi mkoa wa kipolisi wa Kinondoni Jumanne Murilo, amezungumza na waandishi wa habari katika ofisi zake kuhusu kushambuliwa kwa nondo Afisa wa ubalozi wa Syria nchini H. Alfaori na kuibiwa Euro 93,000 sawa na Shilingi Milioni 251 za Kitanzania jana March 20. Hata hivyo kamanda mulilo amesema, kwasasa jeshi la polisi litaongea na ofisi nyingine za nje kabla ya kuajiri wawe wanaomba polisi iwasaidie jinsi kuwachunguza wale waliowapitisha wakitaka...

Like
560
0
Wednesday, 21 March 2018
LADHANI LEO NIKI WA PILI NA INSPECTA HAROUN LIVE
Entertanment

MJADALA: JE NINI KIMEBADILIKA WAKATI HUU HADI WASANI KUFUNGIWA NYIMBO ZAO? INSPECTA HAROUN: aa labda niseme kitu kimoja, dunia siku hizi ni kama kijiji, Haikwepeki  kulinda Utamaduni wetu INSPECTA HAROUN: Kwenye nyimbo ambazo zimefungiwa zingine kiukweli hazikustaili na zingine zina staili NIKI WA PILI: Nakumbuka Mziki wa enzi zile ulikuwa na kama uhuni hivi NIKI WA PILI: namkumbuka professor mmoja alisema mziki wetu ni sehemu ya kuvumbua maovu. NIKI WA PILI: Kufungiwa kwa hizi nyimbo kuna vitu vingi tunatakiwa tuvijadili...

Like
498
0
Wednesday, 21 March 2018
IAN SNOOK ATUA KENYA: RUGBY
Sports

Chama cha mchezo wa Rugby nchini Kenya kimemteuwa Ian Snook toka New Zealand kuwa kocha mkuu wa timu ya #KenyaXV’s “The Simbas” Akichukuwa nafasi ya Jerome Roulstone amabaye nae ni raia wa New Zealand...

Like
369
0
Wednesday, 21 March 2018
JE NINI KIMEBADILIKA WAKATI HUU HADI WASANI KUFUNGIWA NYIMBO ZAO: NIKKI WA PILI LADHANI
Entertanment

Tukirudi miaka 5 nyuma na kuendelea hakukua na kufungiwa sana kwa nyimbo za Bongofleva. Je nini hasa kimebadilika wakati huu.. Ladhani leo tutakuwa na Inspector Haroin Babu na  Nikki wa Pili  kuliangalia hili na mengineyo Saa 9 kamili hadi saa 10 jioni...

Like
401
0
Wednesday, 21 March 2018
TANZIA: PETER KUGA MZIRAY AFARIKI DUNIA
Local News

  Aliyekuwa mgombea wa nafasi ya urais kwa tiketi yachama cha APPT Maendeleo, ambaye pia ni mwenyekiti wa baraza la vyama vya Siasa ndugu Peter Kuga Mziray amefariki dunia jana, Katika hospitali ya rabininsia Memorial iliyopo Tegeta ambapo alikuwa akipatiwa...

Like
860
0
Wednesday, 21 March 2018
Rais Magufuli Atengua Uteuzi wa Mwenyekiti wa NHC na Kuvunja Bodi ya NHC
Global News

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli ametengua uteuzi wa Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Shirika la Nyumba la Taifa (National Housing Corporation – NHC) Bi. Blandina Nyoni kuanzia leo tarehe 21 Machi, 2018. Pia Mhe. Rais Magufuli ameivunja Bodi ya NHC kuanzia leo. Uteuzi wa Mwenyekiti na bodi nyingine utafanyika baadaye. Gerson Msigwa Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Rais, IKULU Dar es Salaam 21 Machi,...

Like
343
0
Wednesday, 21 March 2018
MAGAZETI YA JUMATANO LEO MARCH 21,2018
Magazetini Leo

...

Like
517
0
Wednesday, 21 March 2018
« Previous PageNext Page »