WAMILIKI WA MAGARI WAMETAKIWA KUYAKATIA BIMA MAGARI YAO
Local News

WAMILIKI na Madereva wa Magari nchini wametakiwa kuhakikisha kuwa magari yote yanayotembea barabarani yamekatiwa bima iliyotolewa na kampuni iliyosajiliwa na mamlaka ya bima  kufuatia badala ya kutumia bima feki. Akizungumza na E fm jijini Dar es salaam leo , Mkurugenzi wa Sheria wa Mamlaka ya Udhibiti wa Bima Tanzania- TIRA, Paul Ngwembe amesema kuwa sheria ya bima ya mwaka 2009 inayosimamia masuala ya bima inataka kila gari linalotembea barabarani liwe na bima lakini kumekuwepo na baadhi ya wamiliki au madereva...

Like
281
0
Wednesday, 08 June 2016
ZITTO AHOJIWA NA POLISI
Local News

JESHI la polisi kanda maalumu ya dar es salaamu limemuita na kumuhoji mbunge wa kigoma mjini ZITTO KABWE kwa ajili ya kupata ufafanuzi juu ya maudhui ya hotuba aliyo itoa jumapili iliopita katika viwanja vya Zakhiemu Mbagala . Mheshimiwa KABWE alifika katika ofisi ya polisi kanda maalumu ya Dar es salaamu majira ya saa tatu na dakika thelathini na mbili asubuhi ambapo alihojiwa kwa masaa mawili na baada ya hapo mheshimiwa KABWE alizungumza na waandishi wa habari ambapo alionesha kusikitishwa...

Like
225
0
Wednesday, 08 June 2016
NYANI AZIMA UMEME KOTE NCHINI KENYA
Global News

ampuni ya kuzalisha umeme nchini Kenya, KENGEN imetuma taarifa kwa vyombo vya habari ikiomba radhi kwa ukosefu wa umeme Kwa hapo jana. Hilo sio jambo geni. Mara kwa mara umeme hupotea nchini Kenya kwa sababu moja au nyengine, sawa tu na mataifa yote barani Afrika Hata hivyo sababu walioitoa KENGEN kwa ukosefu huo wa umeme Kwa takriban saa nne kote nchini humo ndio imewaacha wengi wamepigwa na butwaa ! Nyani. Amini usiamini, KENGEN imempata nyani mmoja katika eneo maalum lenye...

Like
353
0
Wednesday, 08 June 2016
AHADI HII YA SAMATTA HUENDA ITABADILISHA TASWIRA YA SOKA LA BONGO
Slider

NAHODHA wa Timu ya Soka ya Tanzania (Taifa Stars) Mbwana Ali Samatta ameahidi kujenga kituo maalum nchini cha kuibua na kukuza vipaji vya wanasoka wachanga ili wafikie viwango vya kimataifa. Sambamba na hilo, ameweka azma ya kukifanya kituo chake kuwa na wigo mpana wa kuwawezesha vijana wa kutoka nje ya Tanzania kuja kujifunza soka katika kituo hicho na kuwapeleka vijana wawili kila mwaka kwenda kujifunza zaidi mchezo huonchini...

Like
259
0
Tuesday, 07 June 2016
MATUKIO KATIKA PICHA KOMAA CONCERT 2016
Entertanment

Kutoka Viwanja Vya Posta Kijitonyama wakazi wa jiji la Daresalaam waliungana kwa pamoja kwenye tukio la kihistoria lililowakutanisha madereva wa bodaboda na bajajiji kutoka karibu kila kona ya jiji. Wanafamilia wa E-fm wakiwa kwenye foleni ya kuingia uwanjani Shangwe la kutosha kutoka kwa Wakzi wa Dsm Mtangazaji wa kipindi cha Genge Kicheko akiwarusha mashabiki wa E-Fm Kala Jeremiah Akiwasha moto kwenye jukwaa Viongozi kutoka jeshi la Polisi pamoja na Mkurugenzi Mkuu wa E-fm wakizungumza na wana E-fm kwa lengo la...

Like
1019
0
Monday, 06 June 2016
HUYU NDIE NYOTA MPYA ANAETUA ARSENAL
Slider

Kijana wa miaka 29 Jamie Vardy kutoka Leicister City anatarajiwa hii leo kutoa majibu iwapo atajiunga na Club ya Arsenal kabla hajaelekea kwenye michuano ya Euro za mwaka huu akiwa na timu ya taifa la Uingereza.Arsenal tayari wamefikia makubaliano na Leicester na wamemwekea mezani Vardy kitita cha fedha kwa miaka minne. Vardy bado alikuwa anatafakari kama awaache Mbweha kuelekea kwa washika Bunduki. Itakumbukwa Vardy aliisaidia sana Leicister katika kutwaa taji la Ligi kuu akifunga mabao...

Like
280
0
Monday, 06 June 2016
HILLARY APETA JIMBO LA PUERTO RICO
Local News

Vyombo vya habari nchini Marekani, vinaripoti kuwa mgombea wa urais wa chama cha Democratic, Hillary Clinton ameshinda uteuzi wa chama hicho katika eneo la Puerto Rico. Ushindi huo unaimarisha matumaini yake ya kunyakua uteuzi wa chama hicho, katika uchaguzi mkuu unaopangiwa kufanyika mwezi wa Novemba mwaka huu. Matokeo ya awali yanaashiria kuwa Bi Clinton atashinda kwa asilimia 60% ya kura ikilinganisha na asilimia 35% za mpinzani wake Bernie Sanders. Bi Clinton sasa anahitaji chini ya wajumbe 30tu ili kushinda uteuzi...

Like
211
0
Monday, 06 June 2016
MWILI WA ALI WAWASILI KENTUCKY
Global News

wa aliyekuwa bondia mashuhuri duniani Mohammed Ali, umewasili mjini Louisville, Kentucky, ambako atazikwa siku ya Ijumaa. Mwili wa bondia huyo wa zamani ulisafirishwa kwa msafara wa magari kutoka uwanja wa ndege wa Louisville . Mazishi yake yanatarajiwa kuwa hafla kubwa ya umma. Ali alikuwa mmoja wa wanamichezo maarufu zaidi duniani katika karne hii ya...

Like
217
0
Monday, 06 June 2016
WHO LAHIMIZA MAENEO YALIYOATHIRIKA NA ZIKA KUCHUKUA TAHADHARI
Global News

SHIRIKA la Afya Duniani (WHO) limewahimiza watu wanaotoka katika sehemu zilizoathirika na virusi vya Zika kuzingatia mbinu za kujikinga endapo mtu anafanya mapenzi au kujiepusha na ngono kwa muda wa wiki nane. WHO imeongeza kwamba ni muhimu kwa wanawake kuepuka kupata ujauzito kwa miezi sita iwapo mwenzake wa ndoa amekuwa na dalili za virusi vya ugonjwa huo. Wiki iliyopita shirika hilo lilisema kuwa hakuna sababu ya kujiepusha na michezo ya Olimpiki mjini Rio mwezi...

Like
193
0
Tuesday, 31 May 2016
JARIBIO LA KOMBORA LA KOREA KUSINI LAFELI
Global News

KOREA Kaskazini imefanya jaribio lingine la makombora yake ya masafa marefu katika eneo la mashariki ya pwani yake lakini linaonekana kufeli. Wakizungumzia makombora hayo wanajeshi wa Korea Kaskazini wamesema kuwa haijulikani ni kombora gani limefeli na kwamba hiyo imejirudia baada ya makombora mengine yaliyojulikana kwa jina la ”Musudan” kufeli mnamo mwezi Aprili. Hata hivyo imeelezwa kutanda kwa wasiwasi katika eneo hilo baada ya Pyongyang kujaribu kombora la nne la Kinyukia mnamo mwezi Januari pamoja na makombora...

Like
348
0
Tuesday, 31 May 2016
WAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA ATOA WITO HUU KWA WATAALAMU WA UHIFADHI WA URITHI ASILIA
Local News

WAZIRI MKUU wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Kassim Majaliwa amewataka wataalamu wa mambo ya malikale na uhifadhi wa urithi asilia watafute mbinu zitakazoimarisha utunzaji wa rasilmali hizo bila kuathiri mifumo ya uchumi wa nchi zinazoendelea.   Mheshimiwa Majaliwa ametoa wito huo leo Jijini Arusha wakati akifungua Mkutano wa Kimataifa wa siku nne unaojadili Uhifadhi wa Urithi wa Dunia wa Afrika kama Nyenzo ya kuleta Maendeleo Endelevu.   Waziri Mkuu amesema endapo rasilmali hizo zitachambuliwa vizuri na kwa njia sahihi bila...

Like
227
0
Tuesday, 31 May 2016
« Previous PageNext Page »