Your message has been sent, you will be contacted soon

Call Me Now!

Close

Je Mugabe atamrithisha mkewe mamlaka?

            Hivi karibuni kumekuwa na swali ambalo linawatatiza watu wengi hususani raia wa Zimbabwe kufuatia mtukio ya rais wa nchi hiyo kumkabidhi mkewe…

CHINA YAONYA MATAIFA YA KIGENI KUTOINGILIA HONG KONG

Uchina imeonya kuwa  kuwa haitawavumilia wahaini kutoka nje ya nchi wanaounga mkono maandamano yasiyo halali nchini humo. Kundi lijulikanalo kama Occupy Central ndilo linalolengwa kwa sababu limekuwa likiunga mkono…

MEEK MILL KUTOKA JELA HIVI KARIBUNI

  Rapa kutoka kundi la MMG Meek Mill ambae jina lake halisi ni Robert Williams alihukumiwa kutumikia kifungo kisichopungua miezi mitatu hadi sita jela baada ya rufaa yake…

DIAMOND PLUTNUM AMZAWADIA GARI WEMA SEPETU

Kupitia mtandao wa instagram jana msanii wa muziki wa kizazi kipya Nasib Abdul yani Diamond amepost picha ya gari alilomnunulia mpenzi wake muigizaji Wema Sepetu gari aina ya…

Jason Derulo amethibitisha rasmi kuachana na Jordin Sparks

mkali wa r&b kutoka marekani Jason Derulo ambae alikuwa na mahusiano na mwimbaji mwenzake Jordin Sparks.Jason Derulo  amethibitisha kuachana kwao kupitia ABC News kwa kusema hakuna ubaya baina yao wala usaliti…