Your message has been sent, you will be contacted soon

Call Me Now!

Close

PICHA: JUMBA LA KIFAHARI ALILONUNUA INI EDO

Muigizaji kutoka Nigeria INI EDO ambae hivi karibuni alimake headlines za vyombo mbalimbali vya habari mara baada ya mahusiano yake na bilionea mfanya biashara Philip Ehiangwina kuvunjika na…

MAREKANI YARUHUSU WATOTO KWENDA CLUB !!!

Kilabu ya watoto walio kati ya umri wa miaka 6 na 12 ilifunguliwa rasmi katika mji wa New York wilaya ya meatpacking nchini Marekani. Mgahawa huo unaomilikiwa na…

HII NDIO ZAWADI YA 2FACE KUSHEREHEKEA MIAKA KUMI YA MUZIKI WAKE

Msanii kutoka pande za Nigeria ambae alipata umaarufu mkubwa Afrika na Dunia kwa ujumla baada ya kuachia wimbo wake wa African Queen na kufanya vizuri kwenye chati za…

WIZ KID KUKAMATWA NA BANGI KENYA!!!!

Msanii kutoka Nigeria ambae amekuwa nnchini kwa kipindi kisichopungua wiki moja ambapo alikwenda kufnya show pamoja na kushiriki kwenye uaandaaji wa video mpya ya Victoria kimani katika wimbo…

SIKILIZA MAJIBU YA BABU TALE KUFUATIA TUHUMA ZA DIAMOND KUVAA SARE ZA JESHI

Baada ya diamond na meneja wake babu tale kufanyiwa mahojiano na jeshi la polisi katika kituo cha  Oystersbay haya ndio majibu ya babu tale wakati anahojiwa katika kipindi…

CHRIS BROWN AZIDI KUWEKWA KIKAANGONI KWENYE KESI YA RIHANA

    Richa ya ya kesi nyingine alizonazo Cris Brown ambae kwa hivi sasa kumekuwa na malalamiko kwamba akionekana sehemu na kundi lake basi lazima itokee fujo kama…

IGGY AZALEA NA BOYFRIEND WAKE NICK YOUNG KUTUMIKA KWENYE TANGAZO JIPYA

Mbali na drama za rapa huyu wa kike Iggy Azalea mwenye asili ya Australia bado ana kila sababu ya kutabasamu kufuatia headlines za mafanikio anazoziweka kwenye tasnia ya…

DIAMOND ASHIKILIWA NA POLISI!!!

Baada ya Meneja wa Diamond kushikiliwa na polisi kwa ajiri ya kufanyiwa mahojiano kuhusiana na swala la msanii huyo kutumia sare za jeshi kwenye tamsha wakati anafanya Show,…

MAPENZI YA NICKI MINAJ NA SAFAREE SAMUELS YAVUNJIKA

Ikiwa ni siku kadhaa toka stori za Nicki Minaj na Safaree Samuels mahusiano yao kuyumba, hivi karibuni kupitia mitandao ya kijamii kufuatia post zilizotumwa na wawili hao katika muda…

WATANZANIA WAFUNGWA MIDOMO NA UMRI WA MISS TANZANIA

kufuatia tuhuma mbalimbali juu ya mshindi wa shindano la Miss Tanzania kwamba hakustahili kupata taji hilo na kuwepo kwa taarifa zenye kuchanganya kuhusu umri wa mlimbwende huyo Sitti Mtemvu, jana…