Your message has been sent, you will be contacted soon

Call Me Now!

Close

JANUARY MAKAMBA AKUTANA NA UJUMBE WA KAMATI YA FEDHA YA BUNGE LA FINLAND

WAZIRI wa Nchi ofisi ya makamu wa Rais, Muungano na Mazingira Mheshimiwa January Makamba amekutana na kufanya mazungumzo na ujumbe wa kamati ya fedha ya Bunge la Finland….

JAMII IMETAKIWA KUSHIRIKISHA WANAWAKE KIKAMILIFU KWENYE VIKAO VYA MAAMUZI

MAKAMU wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan, amewataka watanzania wote kutambua kwamba mafanikio na maendeleo yoyote ndani ya jamii na Taifa kwa…

JESHI LAPEWA JUKUMU LA KUTENGENEZA MADAWATI YENYE THAMANI YA SHILINGI BILIONI 6

JESHI La Magereza nchini na Jeshi la Kujenga Taifa wamepewa jukumu la kutengeneza madawati yenye thamani ya shilingi Bilioni 6 ambayo yatasambazwa katika Mikoa yote ya Tanzania Bara…

WAZIRI UMMY MWALIMU AZINDUA TAASISI YA BASILLA MWANUKUZI BMF

WAZIRI wa Afya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Mheshimiwa Ummy Mwalimu leo amezindua rasmi taasisi ya Basilla Mwanukuzi BMF-yenye lengo la kushirikiana na Wadau ili kuwawezesha…

MAGUFULI ATENGUA UTEUZI WA MKUU WA MKOA WA SHINYANGA MAMA ANNA KILANGO MALECELLA

RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dokta John Pombe Magufuli ametengua uteuzi wa Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga, Mama Anna Kilango Malecella kwa kubaini kuwa alimwambia uwongo…

SERIKALI YATAKIWA KUZINGATIA KASI YA ONGEZEKO LA WATU

SERIKALI nchini imetakiwa kuzingatia kasi ya ongezeko la idadi ya watu katika mipango yake ya maendeleo ikiwemo uwekaji wa mikakati bora na uboreshaji wa sera ili kuweka uwiano…

WATUHUMIWA DAWA ZA KULEVYA WAZIDI KUBANWA

WAZIRI MKUU wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa, Kassim Majaliwa amemtaka Mkuu wa Magereza mkoa wa Lindi, kuhakikisha hakuna mtuhumiwa wa dawa za kulevya atakayetoweka katika gereza…

WADAU WA MAENDELEO YA ELIMU WASHAURIWA KUTOA VIFAA VYA KUJIFUNZIA NA KUFUNDISHIA

WADAU wa Maendeleo ya Elimu nchini wameshauriwa kutoa vifaa vya kujifunzia na kufundishia kwa walimu na wanafunzi wa shule mbalimbali nchini ili kukuza kiwango cha elimu nchini.  …

VYOMBO VYA HABARI VIMETAKIWA KUANDAA VIPINDI VYA KUELIMISHA JAMII

VYOMBO vya habari nchini vimetakiwa kuandaa vipindi vya kuelimisha na kupunguza burudani kwa kuongeza idadi ya vipindi vya kujenga uzalendo, amani, mshikamano pamoja na umoja wa kitaifa.  …

HALMASHAURI NCHINI ZAAGIZWA KUAJIRI MAAFISA HABARI

SERIKALI imeagiza kila mkoa na kila Halmashauri nchini kuajiri Maafisa wa Habari na kuwapa nafasi ya kushiriki katika vikao vyote vya maamuzi pamoja na kutenga bajeti kwa ajili…