Local News

Lugumi Aitikia Wito wa Kangi Lugola
Local News

Mmiliki wa kampuni ya Lugumi, Said Lugumi leo asubuhi Jumanne Julai 31, 2018 amejisalimisha katika ofisi za Wizara ya Mambo ya Ndani jijini Dar es Salaam kuitikia wito wa waziri wa wizara hiyo, Kangi Lugola. Julai 21, 2018 Lugola alimpa siku 10 Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini (IGP), Simon Sirro kumfikisha Lugumi ofisini kwake ifikapo leo, saa 2 asubuhi. Siku hiyo, Lugola alisema kampuni ya Lugumi ilipewa zabuni ya kufunga vifaa vya utambuzi wa alama za vidole kwenye baadhi...

Like
464
0
Tuesday, 31 July 2018
Mbunge wa CHADEMA Jimboni kwa Lowassa ajiuzulu, arudi CCM
Local News

  Mbunge wa jimbo la Monduli kwa Tiketi ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Julius Kalanga amejiuzulu na kujiunga na CCM kwa kile alichoeleza kuwa ni kuunga mkono juhudi Rais Magufuli. Kalanga amepokelewa na Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM Humphrey Polepole. “Siasa za uhasama, malumbano na chuki zimeniondoa CHADEMA. Nimeamua kuiunga mkono serikali ya awamu ya tano kwa maslahi ya taifa. Kwa sababu huwezi kufanya hivyo ukiwa upande wa pili, lazima utaonekana msaliti tu… Watu wa Monduli...

Like
380
0
Tuesday, 31 July 2018
Magufuli Ateua Wakuu wa Wilaya Wapya
Local News

  Rais Magufuli amemteua Jokate Mwegelo kuwa Mkuu wa Wilaya ya Kisarawe Aidha, amemteua David Kafulila kuwa Katibu Tawala wa Mkoa wa Songwe Rais Magufuli amemteua Jerry Muro kuwa Mkuu wa Wilaya ya Arumeru na Patrobas Katambi kuwa Mkuu wa Wilaya ya Dodoma. Rais Magufuli amemteua Ndg. Moses Machali kuwa Mkuu wa Wilaya ya Nanyumbu na Ndg. Lengay Ole Sabaya kuwa Mkuu wa Wilaya ya Hai Pia amemteua Daniel Chongolo kuwa Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni akichukua nafasi ya Ally...

1
914
0
Saturday, 28 July 2018
WAZIRI KIGWANGALLA AWAPA NOTISI YA SIKU 45 WALIOVAMIA PORI LA AKIBA KIJERESHI KUHAMA
Local News

Waziri wa Maliasili na Utalii, Dk. Hamisi Kigwangalla amewapa siku 45 wananchi wanaoishi kinyume cha Sheria ndani ya kinga (buffer zone) za Pori la Akiba Kijereshi kuondoka kwa hiari yao wenyewe kabla ya kuanza operesheni ya kuwaondoa kwa nguvu. Ametoa agizo hilo jana alipotembelea pori hilo katika wilaya ya Busega mkoani Simiyu ikiwa ni muendelezo wa ziara zake mikoani kwa ajili ya kukagua shughuli za uhifadhi na kutatua changamoto zake. Baada ya kushuhudia makazi na shughuli nyingine za kibinadam ndani...

Like
883
0
Friday, 20 July 2018
Uturuki yaondoa hali ya hatari
Local News

Vyombo vya habari vya taifa nchini Uturuki vimetangaza kwamba serikali imeondoa hali ya hatari iliyowekwa nchini humo kufuatia mapinduzi yaliyoshindwa miaka miwili iliyopita. Katika kipindi hicho makumi kwa maelfu ya watu walikamatwa na kushikiliwa bila ya kufunguliwa mashtaka chini ya agizo la Rais wa nchi hiyo Recep Tayyip Erdogan. Wanajeshi, Polisi, Raia, Waandishi wa Habarai na walimu ni miongoni mwa waliokamatwa. Maelfu wengine ikiwemo majaji kadhaa waliachishwa kazi zao. Shirika la Haki za Binadamu la Amnesty International limesema...

Like
364
0
Thursday, 19 July 2018
MAKONDA NA MKEWE WAPATA MTOTO WA KIUME
Local News

Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Paul Makonda na mkewe wamefanikiwa kupata Mtoto wa kiume, ambaye wamempa jina la Keagan.   Kupitia katika Ukurasa wake wa Instagram, Makonda amemshukuru Mungu kwa zawadi hiyo ya pekee na kuandika “Mungu wewe ni waajabu tena unatenda kwa wakati wako. Asante kwa zawadi ya mtoto wa kiume, Keagan P...

Like
574
0
Tuesday, 17 July 2018
Profesa Ndalichako Asikitishwa na Matokeo ya Jangwani Kidato cha Sita
Local News

Waziri wa Elimu, Profesa Joyce Ndalichako ameeleza kusikitishwa na matokeo mabaya ya Shule ya Sekondari Jangwani ambayo ni miongoni mwa zilizoshika mkia katika matokeo ya kidato cha sita. Amesema Serikali imefanya uwekezaji mkubwa katika shule hiyo lakini ni miongoni mwa shule kumi zilizofanya vibaya. Shule hiyo kongwe na ya vipaji maalumu imeingia kwenye nafasi ya shule kumi zilizofanya vibaya katika matokeo yaliyotangazwa Julai 13, 2018 na Baraza la Mitihani la Tanzania (Necta). Profesa Ndalichako amesema hayo leo Julai 17, 2018...

Like
531
0
Tuesday, 17 July 2018
Mashabiki wa Soka Waipokea Timu ya Ufaransa Kifalme
Local News

MASHABIKI wa soka walijipanga katika mtaa mashuhuri jijini Paris uitwao Champs-Elysees jana na kuipokea kifalme timu ya soka ya nchi hiyo iliyobeba Kombe la Dunia nchini Urusi baada ya kuishinda timu ya  Croatia. Mapokezi hayo yaliyokuwa ya kifalme yalipambwa na kina aina ya shamra akiwemo rais Emmanuel Macron na mkewe.  Miongoni mwa taswira kubwa zaidi ilikuwa ni rangi za taifa hilo ambazo zilionekana kutawala macho ya kila mtu — nyeupe, bluu na nyekundu. Paul Pogba akiwa na Kombe la Dunia...

Like
535
0
Tuesday, 17 July 2018
Rais Magufuli ateuliwa mshindi wa tuzo ya Ukombozi Afrika
Local News

Rais wa Tanzania John Pombe Magufuli ameibuka mshindi wa tuzo ya Afrika katika masuala ya uchumi. Makamo mwenyekiti wa kamati ya tuzo ya ukombozi Afrika, Mwebesa Rwebugia ameieleza BBC kwamba rais Magufuli ameibuka mshindi kutokana na mchango wake wa kiuchumi hasaa katika ukuaji wa miundo mbinu. Hii ni mara ya pili kwa kiongozi wa Tanzania kupata tuzo hii, baada ya Mwalimu Julius Nyerere kutuzwa pia kutokana na mchango wake wa kuleta uhuru katika nchi za Afrika. Mwebesa Rwebugia ameeleza kuwa,...

Like
577
0
Tuesday, 17 July 2018
Kauli ya JPM kwa Machinga Mbezi: Biashara Haifanywi Porini
Local News

RAIS Dkt. John Magufuli ametangaza neema kwa wafanyabiashara wadogo wadogo wa eneo la Mbezi Jijini Dar es Salaam kuendelea kufanya biashara zao pembezoni mwa barabara huku akizitaka mamlaka husika zisiwanyanyase wafanyabiashara hao wanaotafuta kipato . Dkt. Magufuli ameeleza hayo jana Julai 16, 2018 wakati akiwa njiani kuelekea Ikulu akiwa anatokea Mkoa wa Pwani, Kibaha kuweka jiwe la msingi la Chuo cha Uongozi cha Julius Nyerere na kusema wafanyabiashara hawawezi kunyanyaswa katika kipindi chake ambacho atakuwa madarakani huku akiwataka...

Like
572
0
Tuesday, 17 July 2018
WAZIRI MKUU AWAONYA VIONGOZI WAPYA WA SHIRECU
Local News

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amewataka viongozi wapya wa Chama Kikuu cha Ushirika Shinyanga wajipime kama wako tayari kuwatumikia wananchi na kama sivyo waachie ngazi.   Ametoa onyo hilo jana (Ijumaa, Julai 13, 2018) wakati akizungumza na mamia ya wananchi wa kijiji cha Mwangongo na vijiji vya jirani mara baada ya kukagua soko la pamba kwenye kijiji hicho, wilayani Kishapu mkoani Shinyanga.   Waziri Mkuu ambaye alikuwa katika siku ya kwanza ya ziara yake ya siku tano mkoani humo, aliwataka wajumbe...

Like
525
0
Saturday, 14 July 2018