Your message has been sent, you will be contacted soon

Call Me Now!

Close

VURUGU ZAPELEKEA KUVUNJIKA KWA MKUTANO WA MADIWANI KINONDONI

MKUTANO wa baraza la Madiwani wilaya ya Kinondoni jijini Dar es salaam umelazimika kuvunjika kufatia vurugu zilizojitokeza kutokana na baadhi ya wabunge na Mdiwani wa Zanzibar wa viti…

TANZANIA YAINGIZA BAADHI YA MIKATABA YA KIMATAIFA YA HAKI ZA BINADAMU KATIKA SHERIA

SERIKALI ya Jamuhuri ya muungano wa Tanzania ime amua kuingiza baadhi ya mikataba ya kimataifa ya haki za binadamu  katika sheria za Tanzania ili kuimarisha ulinzi wa haki…

RAIS MAGUFULI ATANGAZA BARAZA LA MAWAZIRI

RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania dokta John Pombe Magufuli leo ametangaza rasmi Baraza la Mawaziri lenye Wizara 18 ambazo zitakuwa na Jumla ya Mawaziri 19. Baraza…

WAKAZI WA KIRUMBA, MWANZA KUNUFAIKA NA MRADI WA UWEKAJI ALAMA

WAKAZI wa mtaa wa Ibanda kata ya kirumba  Jijini Mwanza wanatarajiwa kupokea  mradi wa  uwekaji Alama katika maeneo yao ili kupunguza migogoro ya Ardhi iliyokithiri katika kata yao. Hayo yamekuja mara…

SERIAKALI YAOMBWA KUCHUKUA HATUA KALI KWA WAZAZI MARA DHIDI YA UKEKETAJI WA WATOTO

SERIKALI Mkoani Mara imeombwa Kuingilia kati nakuwachukulia  hatua kali baadhi ya wazazi wanaopeleka watoto wa kike kukeketwa hususani katika kipindi hiki cha Tohara ambapo baadhi ya koo za…

RAIS MAGUFULI APONGEZWA KWA KUHAMASISHA USAFI

BAADA ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kuwaongoza  Watanzania katika maadhimisho ya Siku ya Uhuru wa Tanganyika kwakufanya usafi jana, wanasiasa, wachambuzi na wananchi mbalimbali wamepongeza…

EFM, DTB BANK, BONGO MOVIE NA HALMASHAURI YA WILAYA YA KINONDONI WAKIFANYA USAFI SIKU YA UHURU

E-fm na DTB Bank kwa kushirikiana na na Halmashauri ya Wilaya ya Kinondoni chini ya Mkuu wa Wilaya hiyo, Mh. Paul Makonda pamoja na waigizaji wa Bongo Movie na…

JUMUIYA YA WAFANYABIASHARA KUFANYA USAFI MANISPAA YA ILALA

JUMUIYA ya Wafanyabiashara Tanzania inatarajia kufanya usafi wa Mazingira katika baadhi ya maeneo ya Manispaa ya Ilala ikiwa ni hatua ya kuunga mkono Agizo la Rais Dokta John…

MAFUNZO YAKUKABILIANA NA MIONZI YA NYUKLIA YATOLEWA NCHINI

TUME ya Nguvu za Atomiki, Tanzania kwa kushirikiana na Shirika la Nguvu za Atomiki Duniani wanaendeshesha mafunzo ya namna ya kukabilina na matukio ya mionzi hatari yenye lengo…

NEMA FOUNDATION YATOA MSAADA WA MASHUKA KATIKA BAADHI YA HOSPITALI DAR

TAASISI isiyo ya kiserikali ya- NEMA FOUNDATION imetoa msaada wa mashuka miamoja katika  baadhi ya hospitali  za Jijini Dar es salaam ikiwemo hospitali ya Mwananyamara ikiwa  ni sehemu …