Your message has been sent, you will be contacted soon

Call Me Now!

Close

MATASHI YA CHUKI: WABUNGE 7 WAKAMATWA KENYA

Wabunge sita nchini Kenya wanatarajiwa kuwasilishwa mahakamani kufuatia madai ya kutoa matamshi ya chuki. Siku ya Jumapili mbunge mmoja anayegemea upande wa serikali alidaiwa kutaka kuuawa kwa aliyekuwa…

MUUAJI WA ORLANDO ALITEMBELEA KLABU YA WAPENZI WA JINSIA MOJA

Ripoti kutoka Orlando Marekani zasema Omar Mateen, mtu aliyewafyatulia risasi na kuwaua watu 49 katika klabu moja ya watu wanaoshiriki mapenzi ya jinsia moja, alikuwa akitembelea klabu hiyo…

ERITREA NA ETHIOPIA ZAPIGANIA ENEO LA MPAKANI

Eritrea imeishtumu Ethiopia kwa kutekeleza shambulio katika mpaka wake ambao una ulinzi mkali. Wakazi katika eneo la Tsorona wanasema wamesikia milio ya risasi na kuona wanajeshi wakielekea katika…

MAAFISA 302 WA POLISI WAFUTWA KAZI KENYA

Takriban maafisa 302 wa polisi wamefutwa kazi nchini Kenya kwa kukataa kukaguliwa tangu mpango huo wa kutaka kukabiliana na ufisadi kuanzishwa mwaka 2013,kulingana na tume inayotekeleza ukaguzi huo….

HILLARY CLINTON AJITANGAZIA RASMI USHINDI

HILLARY CLINTON amejitangazia rasmi ushindi kwenye kura za mchujo za chama chake cha Democratic baada ya kushinda majimbo kadhaa muhimu kwenye chaguzi za jana na hivyo kujiimarishia nafasi…

NYANI AZIMA UMEME KOTE NCHINI KENYA

ampuni ya kuzalisha umeme nchini Kenya, KENGEN imetuma taarifa kwa vyombo vya habari ikiomba radhi kwa ukosefu wa umeme Kwa hapo jana. Hilo sio jambo geni. Mara kwa…

MWILI WA ALI WAWASILI KENTUCKY

wa aliyekuwa bondia mashuhuri duniani Mohammed Ali, umewasili mjini Louisville, Kentucky, ambako atazikwa siku ya Ijumaa. Mwili wa bondia huyo wa zamani ulisafirishwa kwa msafara wa magari kutoka…

WHO LAHIMIZA MAENEO YALIYOATHIRIKA NA ZIKA KUCHUKUA TAHADHARI

SHIRIKA la Afya Duniani (WHO) limewahimiza watu wanaotoka katika sehemu zilizoathirika na virusi vya Zika kuzingatia mbinu za kujikinga endapo mtu anafanya mapenzi au kujiepusha na ngono kwa muda…

JARIBIO LA KOMBORA LA KOREA KUSINI LAFELI

KOREA Kaskazini imefanya jaribio lingine la makombora yake ya masafa marefu katika eneo la mashariki ya pwani yake lakini linaonekana kufeli. Wakizungumzia makombora hayo wanajeshi wa Korea Kaskazini wamesema…

HABRE AHUKUMIWA KIFUNGO CHA MAISHA JELA

ALIYEKUWA rais wa Chad Hissene Habre amehukumiwa kifungo cha maisha jela baada ya kupatikana na hatia ya kuhusika kwenye uhalifu dhidi ya ubinadamu , ubakaji na utumwa wa…