Your message has been sent, you will be contacted soon

Call Me Now!

Close

PICHA: BWANA E AMWAGA WESE BUREEE TEMEKE, YOMBO BUZA

Wale wadau wa E-fm wenye sticker za namba ya bahati 93.7 wamebahatika kuwekewa wese full tank kutoka kwa Bwana E katika kituo cha mafuta cha Lake Oil Yombo…

PICHA: NJE NDANI YA JOTO LA ASUBUHI NDANI YA KARIAKOO

Kipindi cha Joto la Asubuhi cha EFM redio kinacho tangazwa na Gerald Hando, PJ na Adela Tilya kinachorushwa live kila mwisho wa wiki katika maeneo mbalimbali, leo siku…

WANANCHI WAJIPATIA PESA TASLIMU KWENYE MCHEZO WA SAKASAKA YA EFM REDIO

Mchezo wa SAKASAKA unaoendeshwa na kituo cha EFM redio umeanza rasmi siku ya jumapili ya tarehe 12/06/2016 pale viwanja vya Mcanada, Tegeta ukiwahusisha wakazi wa wilaya ya Kinondoni….

MATUKIO KATIKA PICHA KOMAA CONCERT 2016

Kutoka Viwanja Vya Posta Kijitonyama wakazi wa jiji la Daresalaam waliungana kwa pamoja kwenye tukio la kihistoria lililowakutanisha madereva wa bodaboda na bajajiji kutoka karibu kila kona ya…

PICHA: SHIKA NDINGA KIBAHA 2016

Odinga zikiwa jukwaan zikisubiri kushindaniwa Majaji wakiandaa eneo la kufanya mashindano Swebe Santana akisherehea Choggo Chema Mmoja ya washiriki akipokea maelekezo Mashabiki wakifuatilia mtanange Mashindano yakiendelea David Urasa…

UKURASA MPYA WA JOTO LA ASUBUHI

Watangazaji mahiri Gerald Hando na Paul James (PJ) wameanza rasmi kutangaza 93.7 Efm redio siku ya  leo ya  tarehe 02/05/2016  katika kipindi cha Joto la asubuhi  kilichoboreshwa wakiwa pamoja  na Adela Tilya live…

GWIJI WA SOKA BARANI AFRIKA NWANKWO KANU AFANYA EXCLUSIVE INTERVIEW NDANI YA EFM REDIO

Mchezaji wa zamani wa kimataifa wa Nigeria na club za Ajax, Inter Milan, Arsernal, na Portsmouth Nwankwo Kanu ambaye pia ni balozi wa Startimes akiwa katika kituo cha…

PICHA: MAPOKEZI YA ELIZABETH MICHAEL (LULU) BAADA YA KUTWAA TUZO AMVC2016

Tanzania iliwakilishwa vyema na Single Mtambalike (Richie) pamoja na Elizabeth Michael (LULU) waliong’aa kwenye usiku wa kilele cha tuzo za Africa Magic Viewers Choice zilizoandaliwa na Multchoice| Dstv…

TAFRIJA YA MWANAMKE WA SHOKA YAELIMISHA WANAWAKE WENGI

Katika kuelekea siku ya wanamke duniani EFM radio yakutanisha wanawake kutoka vikundi mbalimbali vya ujasiliamali na VICOBA kutoka jiji la Dar es Salaam na Pwani katika ukumbi wa…

LULU NA RICHIE WANG’ARA TUZO ZA AMVCA2016

Waigizaji wa filam Kutoka Tanzania Elizabeth Michael (Lulu) na Single Mtambalike Richie wamefanikiwa kubeba tuzo moja moja kwenye kilele cha Africa Magic Viewers Choice awards. Richie ndie alikuwa…