Your message has been sent, you will be contacted soon

Call Me Now!

Close

BIBI ABIOLA DELUPE MWAKILISHI WA UBALOZI WA NIGERIA AITEMBELEA EFM

Mwakilishi wa ubalozi wa Nigeria, bibi Abiola Delupe aitembelea Efm Radio leo  katika vitengo tofauti na  kuona utendaji kazi wa radio. Huku akikutana na baadhi ya watangaziji  kujadili…

TAMASHA LA MCHIZI WANGU LAFANA JIJINI DAR ES SALAAM

93.7 Efm Radio,kuadhimisha tamasha kubwa la Mchizi wangu lililofanyika siku ya wapendanao tarehe 14/02/2016, likiongozwa na mziki wa mchiriku na singeli. Tamasha hilo lilisheheni Wasani kibao wakitumbuiza huku…

EFM YAKABIDHIWA MICHORO YA MADARASA KUTOKA KWA AFISA ELIMU, KINONDONI

Efm Radio,katika harakati zakufanikisha ahadi ya kujenga madarasa, imekabidhiwa michoro ya ramani ya madarasa ya sekondari wilaya ya Kinondoni kata ya Kimara, Makabidhiano yaliyofanyika  katika ofisi za Kituo…

EFM RADIO, YAKABIDHIWA ENEO LA UJENZI WA MADARASA YA SEKONDARI-KATA YA KIMARA- KINONDONI.

WILAYA ya Kinondoni kupitia Mkuu wa Wilaya hiyo inatarajia kuongeza shule za Sekondari ili kukidhi mahitaji ya wanafunzi katika Wilaya hiyo. Efm Radio 93.7 katika kuunga mkono juhudi…

NEW MUSIC: DREAM – NIMESHAZAMA

Baada ya kufnya vizuri na track yake ya kwanza kama  solo artist, Dream ameachia wimbo mpya unaweza kuusikiliza na kuupakua hapa Wimbo umetayarishwa na Abbah katika studio za…

MAKAPU YA SIKUKU HAYABEBEKI YALIVYOSHEHENI MAZAGAZAGA

Kituo bora cha radio 2015 E-fm leo kimekabidhi zawadi ya makapu yaliyosheheni bidhaa za vyakula kuelekea sikukuu ya Christmas Zoezi hili liliwataka wasikilizaji wa E-fm kusikiliza mlio wa…

EFM, DTB BANK, BONGO MOVIE NA HALMASHAURI YA WILAYA YA KINONDONI WAKIFANYA USAFI SIKU YA UHURU

E-fm na DTB Bank kwa kushirikiana na na Halmashauri ya Wilaya ya Kinondoni chini ya Mkuu wa Wilaya hiyo, Mh. Paul Makonda pamoja na waigizaji wa Bongo Movie na…

UZINDUZI WA KIPINDI CHA UHONDO TRAVELLTINE MAGOMENI

  Mtangazaji wa kipindi cha Uhondo Dinna Marios akiwa na wafanyakazi wenzake wa EFM akiitambulisha kanga ya “MAMA ANA UHONDO WAKE MTUNZE UPATE MEMA YAKE” pale Traventine Hotel…

EFM NA DTB BANK KUADHIMISHA SIKU YA UHURU KWA KUFANYA USAFI

EFM Radio kwa kushirikiana na  Benki ya DTB na Halmashauri ya Wilaya ya Kinondoni chini ya Mkuu wa Wilaya hiyo, Mh. Paul Makonda, tumeamua kuunga mkono na kutekeleza…

E-FM VS TABATA VETERANI HAKUNA MBABE

Dakika 90 za mtanange wa mpira wa miguu kati ya E-fm Vs Tabata Veterani zilimalizika kwa sare ya bila kufungana. Burudani hii ya mpira ilishuhudiwa na mamia ya…