Your message has been sent, you will be contacted soon

Call Me Now!

Close

EFM VS KAWE VETERANI 3-3

Dakika 90 za mchezo wa kirafiki kati ya E-fm Vs Kawe Veterani zilimalizika kwa sare ya magoli 3-3, huku E-fm wakiwa wa kwanza kuliona lango la Kawe Veterani…

PICHA: MUZIKI MNENE BAR KWA BAR 2015 SMART PARK

Rdj Con Rdj Manz Rdj Skit Rdj Timber

E-FM VS KILUVYA VETERANI 2-1

Mechi ya Mpira wa miguu kati ya E-fm Vs Kivule Veterani imemalizika huku E-fm ikiruhusu washambuliaji wa Kivule Veterani kuziona nyavu mara mbili huku Efm wakiliona lango lao…

MAELEZO YA PICHA TEGETA

SHANGWE za muziki mnene wa 93.7 EFM  bado zinaendele.Ijumaa iliyopita ilikuwa zamu ya wakazi wa Tegeta . Burudani ya aina yake  ikiongozwa na timu nzima ya EFM ilishushwa…

UHONDO: MSHINDI WA NENO LA KHANGA AKABIDHIWA MILIONI MOJA

Mshindi wa shindano la kubuni neno la Khanga kupitia Uhondo Sekela Richard amekabidhiwa rasmi kitita cha Shilingi milioni moja ya kitanzania. Shindano hili liliwataka wanawake kushiriki kubuni neno…

MUZIKI MNENE NDANI YA BOKO

93.7 EFM inaendeleza burudani kupitia kampeni yake ya muziki mnene bar kwa bar. Jumamosi ilikuwa zamu ya wakazi wa bunju  kuongea na muziki wa 93.7 EFM. Burudani hiyo…

E-FM YAILAZA CALFORNIA FC 2-1

Dakika 90 za mchezo wa mpira wa miguu kati ya E-fm Vs Calfornia Fc zilimalizika kwa E-fm kutetea ahadi yake ya kutembeza dozi kwenye michezo yote iliyosalia katika…

MUZIKI MNENE KIGAMBONI 2015

MUZIKI mnene bar kwa bar wiki iliyopita ulivuka kivuko na kuhamia kigamboni.Wakazi wa eneo hilo ambao ni wasikilizaji wa 93.7 EFM walipata burudani ya aina yake kutoka kwa…

PICHA: E-FM VS MAGOGONI VETERANI MUZIKI MNENE BAR KWA BAR 2015

Mchezo wa mpira wa miguu kati ya E-fm Vs Magogoni Veterani umemalizika katika uwanja wa Ufukoni huku matokeo ya mchezo huo yakiwaweka vifua mbele maveterani wa Magogoni wakiwa…

MUZIKI MNENE BAGAMOYO

SHANGWE za  muzikimnene  wa 93.7 EFM ,kwa mara nyingine tena ziliendelea ndani ya bagamoyo . Burudani ya aina yake ikiongozw anatimunzimaya EFM ilishushwandaniyamagetimiaAdon lodge. Wakazi  wa bagamoyo walipata…