Your message has been sent, you will be contacted soon

Call Me Now!

Close

WATANZANIA WAMEAMUA KUWEKA SILAHA CHINI NA KUIUNGA MKONO TAIFA STARS

Kikosi imara kabisa cha timu ya taifa ya Tanzania Taifa Stars siku ya jumamosi kilishuka dimbani katika uwanja wa taifa wa Daresalaam kukipiga na timu ya taifa ya…

MUZIKI MNENE BAR KWA BAR MKURANGA

Muziki mnene Mkuranga sherehe zilianza na ufunguzi wa mechi ya mpira wa miguu kati kikosi bora kabisa cha E-fm na Mkuranga Veteran ambapo mchezo huo ulimalizika kwa E-fm…

MUZIKI MNENE BAR KWA BAR 2015

TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI   03/09/2015 BAADA ya kumalizika kwa Tamasha la muziki mnene Mtaa kwa Mtaa awamu ya kwanza, (Muziki mnene bango) ambapo mashabiki na wasikilizaji…

MUZIKI MNENE BAR KWA BAR 2015 BANGO

Bwana E Mr Jimmy Jiam wa EFM akipozi na mshindi wa EFM Muziki Mnene Bango eneo la Sinza, jijini Dar Es Salaam. Mshindi huyo alionekana akiwa anasikiliza 93.7…

WASHINDI WA SHINDANO LA AEG KUPITIA JOTO LA ASUBUHI

kupitia joto la asubuhi waweza kuwa mshindi pia, njia ni rahisi zaidi unachotakiwa kufanya ni kusikiliza kipindi cha Joto la asubuhi jumatatu hadi ijumaa Picha kulia n bwana…

HAPPY BIRTHDAY E SPORTS

Leo kipindi pendwa cha michezo Tanzania cha E SPORTS kimefikisha mwaka mmoja tangu kuanzishwa kwake Katika kusherehekea siku hii muhimu kikosi cha watangazaji wa michezo ndani ya Efm…

BWANA E AKIGAWA ZAWADI KWA WAPENZI NA MASHABIKI WA EFM KIBAHA

Tukipata picha na mashabiki wa EFM maeneo ya Kibaha kuwashukuru na kuwatunza kuwapa zawadi kwa kutusikiliza ikiwa ni maandalizi ya ujio wa Muziki mnene bar kwa bar. Bango la…

MUZIKI MNENE BAR KWA BAR 2015

BAADA ya kumalizika kwa Tamasha la muziki mnene Bar kwa bar awamu ya kwanza, na mashabiki kuomba Burudani hiyo iendelea tena, Uongozi Efm umekubali ombi hilo na sasa…

MSHINDI WA SAKASAKA WILAYA YA KINONDONI

Kutana na Debora charles mkazi wa kinondoni mkwajuni ambae ni mshindi wa shindano la sakasaka Wilaya ya Kinondoni aliyejibebea kitita cha shilingi milioni moja na nusu za kitanzania…

JUMA NATURE ATOA MISAADA KATIKA HOSPITALI YA MBAGALA RANGI TATU

MSANII wa Muziki wa Bongo flaver nchini,  Juma Kassim Ally, maarufu Juma Nature leo ameto misaada ya vitu mbalimbali katika Hospitali ya Serikali ya  Mbagala Rangi tatu iliyopo…