Your message has been sent, you will be contacted soon

Call Me Now!

Close

FAMILIA YA 93.7 EFM INAWATAKIA HERI YA KRISMAS

          Hawa ni baadhi ya wafanyakazi wa 93.7 efm kwa pamoja tunakutakia heri ya Krismas, Asante kwa kuendelea kusikiliza efm kwetu muziki unaongea

PICHA: WASHINDI WENGINE WA KAPU LA SIKUKUU WAKIKABIDHIWA ZAWADI ZAO

leo ni siku ya kukabidhi zawadi kwa washiriki waliobahatika kushinda kwenye kapu la sikukuu na hawa ni baadhi ya washindi hao picha juu ni watangazaji wa kipindi cha…

KRISMAS NJEMA KWA MASHABIKI WA EFM NA KAPU LA SIKUKUU

Mmoja ya washindi wa kapu la sikukuu,Mama Patrick na mwenzake Meneja Uhusiano wa EFM,Kanky Mwaigomole,akimsaidia mmoja wa washindi wa Kapu la sikukuu,kuingiza kwenye usafiri. Mtangazaji wa kipindi cha…

PICHA: YALIYOJIRI FAINALI YA MUZIKI MNENE (MATUKIO KATIKA PICHA)

watangazaji na maDJS wa 93.7 EFM wakifanya maandalizi ya tamasha la muziki mnene liliofanyika Dar alive mbagala .   watangazaji na maDJS wa 93.7 EFM wakifanya maandalizi ya…

UGANDA: USHAHIDI WA VIDEO WABADILI KESI KUWA JARIBIO LA MAUAJI

POLISI Nchini Uganda wamebadilisha mashtaka ya mfanyakazi wa nyumbani aliyenaswa kwa kamera akimpiga na kumtendea unyama mtoto wa mwaka mmoja na nusu, kutoka kosa la kutesa na sasa…

ALICHOKISEMA SSEBO KWENYE MTANDAO WA TWITTER

Ssebo ambae ni mtangazaji wa kipindi cha JOTO LA ASUBUHI KUPITIA 93.7 EFM kipindi kinachoruka kila jumatatu hadi ijumaa saa kumi na mbili kamili hadi saa tatu asubuhi…

MCT YAZINDUA TUZO ZA UMAHIRI ZA UANDISHI WA HABARI

 BARAZA la habari nchini-MCT kwakushirikiana na Kamati ya maandalizi ya tuzo za Umahiri za uandishi wa habari Tanzania-EJAT, leo imezindua rasmi tuzo hizo ikiwa ni mara ya sita…

Mh. Lowassa akagua maandalizi ya Sokoine day Monduli Juu

Waziri mkuu mstaafu na mbunge wa Monduli Mh Edward Lowassa akipata maelezo kutoka kwa watoto wa marehemu Edward Sokoine, Namelok Sokoine(mb) na Joseph Sokoine ambaye ni afisa katika…

VODACOM YATEMBELEA VYOMBO VYA HABARI KUIMARISHA UHUSIANO

Waendeshaji wa kipindi cha Morning Choice kinachorushwa na kituo cha Radio cha Choice FM Baby Kabai (kulia) na Evans Bukuku wakionesha manjonjo kwa Mkuu wa Masoko wa Vodacom…