Your message has been sent, you will be contacted soon

Call Me Now!

Close

LUCA TONI KUSTAAFU SOKA MWISHONI MWA MSIMU WA SERIE A

Mshambuliaji wa zamani wa Juventus na Bayern Munich, Luca Toni kustaafu soka mwishoni mwa msimu huu wa Serie A. Mshambuliaji huyu mwenye rekodi ya kutwaa kombe la dunia…

RAIS ATUHUMIWA KUMALIZA MPIRA KWA PENATI KABLA DAKIKA 90

Rais wa Mauritania Mohamed Ould Abdel Aziz aamuru mpira kumalizwa kwa penati kabla ya dakika 90 baada ya mchezo huo kukosa mvuto hali iliyopelekea kuchoka kuendelea kuutazama akiwa…

NAPOLI YAILAZA INTER MILAN 2-1

Napoli yaiengua Inter Milan kileleni mwa ligi ya Serie A baada ya Gonzalo Higuain kutekenya nyavu mara mbili na kuwalaza vijana wa Roberto Mancini waliomaliza mchezo wakiwa 10….

DAVID MOYES ASAKA NAFASI ULAYA

  David Moyes aonyesha nia ya kutaka nafasi ya kunoa klabu moja wapo katika bara la Ulaya. Moyes ambae alitimuliwa katika klabu ya Real Sociedad anatazamiwa kupata nafasi…

IKULU YAKANUSHA KUTOA RATIBA YA MAADHIMISHO YA SIKU YA UHURU

OFISI ya Rais Ikulu, imekanusha taarifa zilizoenezwa katika mitandao ya kijamii kuwa Kurugenzi ya Mawasiliano ya rais Ikulu, imetoa ratiba ya maadhimisho ya siku ya Uhuru Tarehe 9…

CECAFA: KILIMANJARO STARS YASONGA MBELE

Michuano ya Cecafa iliendelea tena hapo jana kwa michezo miwili katika hatua ya makundi, Kilimanjaro Stars wakiandikisha ushindi mwingine. Tanzania Bara (Kilimanjaro Stars) imeichapa Rwanda bao 2-1 katika…

IDADI YA WAGONJWA WA KIPINDUPINDU YAPUNGUA DAR

IDADI ya wagonjwa wa kipindupindu jijini Dar es salaam imeelezwa kupungua  kufikia wagonjwa kumi na mbili kwa mkoa mzima, huku wilaya ya Temeke pekee ikiwa na wagonjwa saba,…

DOLA 150000 ZATOLEWA KATIKA KIJIJI CHA MACHALI KUKABILIANA NA MABADILIKO YA TABIA YA NCHI

KIJIJI cha Manchali kilichopo wilaya ya Chamwino mkoani Dodoma, kimekabidhiwa mradi wenye thamani ya dola za Marekani 150,000 kwa lengo la kukabiliana na mabadiliko ya tabia nchi.  …

NOVAK DJOKOVIC ATWAA TAJI LA NNE ATP

Mchezaji tenisi namba moja Duniani kutoka Serbia, Novak Djokovic amemaliza msimu wake kwa ushindi dhidi ya Roger Federer. Ushindi huo umemfanya kuweka rekodi ya taji la nne mfululizo…

VAN GAAL APANGA KUMREJESHA CRISTIANO RONALDO OLD TRAFFORD

Kocha wa Manchester United imethibitishwa anajaribu kumrejesha mshambuliaji matata wa Real Madrid Cristiano Ronaldo Old Trafford . Louis van Gaal amethibitisha kuwa wanawafuatilia wachezaji kadhaa akiwemo Ronaldo kwa…