Your message has been sent, you will be contacted soon

Call Me Now!

Close

TIMU YA SPECIAL OLYMPICS TANZANIA YANG’AA MAREKANI

Timu ya Taifa (Special Olympics Tanzania) iliyoko Los Anegels – Marekani imeendelea kupata mafanikio makubwa baaba ya siku ya jana tarehe 30 Julai kujipatia jumla ya medali tano….

OLIMPIKI: UCHAFU NI KIKWAZO KATIKA FUKWE ZA RIO DE JANEIRO

Rais wa Kamati kuu ya Kimataifa ya Olimpiki, Thomas Bach, amesema kuwa uchafuzi wa bahari ni moja ya kikwazo Rio de Janeiro katika maandalizi ya michuano ya hapo…

MIGUEL HERRERA AFUKUZWA KAZI

Kocha kutoka Mexico, Miguel Herrera amefukuzwa kazi baada ya kumshambulia mwandishi wa habari wa kituo kimoja cha luninga. Hatua hii ya kufukuzwa kazi kwa kocha huyo kunakuja ikiwa…

KAGAME CUP: MANARA AWATAKA MASHABIKI WA SIMBA KUISHANGILIA AZAM KESHO

Uongozi wa Simba Sc kupitia msemaji wao Haji Manara umetoa tamko la kuwataka mashabiki na wanachama wake kujitokeza kwa wingi kesho katika uwanja wa taifa kuishangilia timu ya…

NIGERIA: KESHI KUDAI SHIRIKISHO EURO MILIONI 3.2

Kocha wa zamani nchini Nigeria,Stephen Keshi anaidai shirikisho la soka nchini humo Euro milioni 3.2 kwa kufukuzwa kazi kabla ya mkataba wake kuisha. Keshi ambaye alifukuzwa kazi mwanzoni…

FROOME ASHINDA MASHINDANO YA YA BAISKELI

Mshindi wa mashindano ya baiskeli yajulikanayo kama Tour de France ,Chris Froome ameweza kushinda kwa mara ya pili tangu aingie kwenye mchezo huo. Katika mchezo wake wa mwisho…

UBAGUZI WA RANGI: SOULEYMANE SYLLA ADAI FIDIA

Mfaransa mweusi, mwenye asili ya Mauritania, ambaye alitukanwa kutokana na rangi yake ya mwili na mashabiki wa timu ya Chelsea kwenye kituo cha treni mjini Paris mwezi February,…

PRINCE ALI BIN AL AL HUSSEIN AMTAKA BLATTER KUTOJIHUSISHA NA MAGEUZI FIFA

Mwanamfalme Ali bin Al Hussein wa Jordan, aliyeshindwa uchaguzini na Sepp Blatter jaribio lake la kutaka kuwa rais wa Fifa mwezi Mei, amesema Blatter hafai kusimamia shughuli ya…

JESHI LA POLISI LIMEFANIKIWA KUKAMATA SILAHA ZILIZOPORWA NA MAJAMBAZI KATIKA KITUO CHA SITAKISHARI

JESHI la Polisi Nchini limefanikiwa kukamata silaha zilizoporwa na majambazi katika kituo cha Polisi Sitakishari pamoja na fedha kiasi cha shilingi milioni 170.   Katika Operesheni hiyo Jeshi…

FIFA KUPANGA TAREHE YA UCHAGUZI WA RAIS

RAIS wa shirikisho la soka duniani FIFA Sepp Blatter na bodi ya utawala ya shirikisho hilo pamoja na viongozi wengine wa juu wa shirikisho hilo wanakutana leo kupanga…