Your message has been sent, you will be contacted soon

Call Me Now!

Close

ANDY MURRAY ATANGAZA NDOA

Huenda mwaka wa 2015 ukawa na kumbukumbu nzuri katika maisha mcheza tennis  Andy Murray kufuatia mpango wake wa kufunga ndoa na mpenzi wake Kim Sears April mwaka huu….

LOUIS VAN GAAL ATANGAZA KUSTAAFU ATAKAPOMALIZA KUITUMIKIA MANCHESTER UNITED

Meneja wa klabu ya Manchester United Louis van Gaal ametangaza kustaafu soka atakapomaliza kuitumikia Man U. Meneja huyo mwenye umri wa miaka 63 anamkataba wa kuinoa Manchester United…

MANCHESTER CITY YAAGA MICHUANO YA MABINGWA

Manchester  City jana imetolewa kwenye ligi ya mabingwa barani Ulaya na kuwa timu ya mwisho kutoka ligi ya Uingereza kuyaaga mashindano hayo Kwa matokeo hayo ya jana yanaandika…

YANGA KILELENI MSIMAMO WA LIGI KUU

Yanga kinara msimamo wa ligi kuu Tanzania bara, katika mchezo uliochezwa jana katika uwanja wa taifa jijini Daresalaam klabu ya soka ya Yanga ilikuwan mwenyeji wa Kagera Sugar…

NGASA KUIAGA YANGA!!!

Hatuwezi kumzuia Ngasa kuiaga Yanga kama atapata timu nje na Tanzania pia ni heri na faraja kwetu kwani lengo ni kukuza mpira wa nyumbani kwa kuona wachezaji wanafika…

ATLETICO MADRID YATINGA ROBO FAINALI LIGI YA MABINGWA KWA MIKWAJU YA PENATI

Atletico Madrid imetinga robo fainali za michuano ya Mabingwa barani Ulaya baada ya kuitandika Bayer Leverkusen kwa mikwaju ya penati. Klabu hiyo ya nchini Hispania ilikuwa mwenyeji wa…

ARSENAL YAAGA MICHUANO YA KLABU BINGWA ULAYA

Arsenal imeshindwa kuifikia hatua ya robo fainali ya michuano ya Mabingwa huko barani Ulaya richa ya kuibuka na ushindi wa mabao 2-0 wakiwa ugenini katika mchezo wao wa…

AUDIO: MASWALI NA MAJIBU YA DK PANJUAN KWA YASIN ABDALLAH OSTAZI

Unaweza kusikiliza vibonzo hivi pia kupitia vipindi vyetu vya michezo ambavyo ni Sport Headquarters na E sport

MATOKEO YA EUROPA LEAGUE

Matokeo ya Europa League jana usiku tarehe 12-march 2015. Everton 2 – Dynamo Kiev Roma 1 – 1 Fiorentina Wolfsburg 3 – 1 Inter Millan Villareal 1 –…

AUDIO: MASWALI NA MAJIBU YA DK PANJUAN KWA MWENYEKITI WA BODI YA LIGI

Unaweza kusikiliza na kudownload hapa kibonzo cha Dk. Panjuan kupitia kipindi cha Sports Headquarters