Sports

Azam Media  Yakanusha Kutorusha Mubashara Mechi za Ligi Kuu
Sports

Uongozi wa Azam Media kupitia Mkurugenzi wake, Tido Mhando, umeibuka na kukanusha taarifa zilizoelezwa kuwa hawatoonesha mechi za Ligi Kuu Bara msimu ujao. Mhando amefunguka na kueleza kuwa taarifa zilizosambaa katika mitandao mbalimbali zikieleza kuwa Azam haitorusha mbashara mechi za ligi msimu wa 2018/19 si za kweli. Mkurugenzi huyo ameeleza kuwa Azam bado wana misimu mitatu hivyo mkataba wao utakapomalizika watakuwa tayari kufanya mazungumzo mengine ya kuongeza lakini si kweli kuhusiana na yaliyoripotiwa jana. Ikumbukwe Azam Media...

Like
1015
0
Wednesday, 18 July 2018
Yanga Sc Dimbani Leo Dhidi ya Gor Mahia ya Kenya
Sports

Yanga Sc leo inashuka dimbani kupambana na Gor Mahia ya Kenya katika mchezo wa mkondo wa kwanza wa Kombe la Shirikisho Afrika. Mchezo huo unatarajiwa kupigwa majira ya saa moja jioni jijini Nairobi, Kenya Tutarajie matokeo ya aina gani kwenye mchezo...

1
719
0
Wednesday, 18 July 2018
TFF YAWATAKA MTIBWA KUPELEKA HARAKA USHAHIDI WA KULIPA DENI LA CAF
Sports

Shirikisho la Soka la Tanzania (TFF), limeibana klabu ya Mtibwa Sugar juu ya malipo ya deni lao la faini katika Shirikisho la Soka Afrika (Caf) kwa kuwataka wapeleke uthibitisho ili wapate nafasi ya ushiriki Kombe la Shirikisho baadaye mwaka huu. Awali kulikuwa na sinto­fahamu juu ya ushiriki wa Mtibwa Sugar katika michua­no ya Kombe la Shirikisho mwaka huu hadi TFF ilipopa­ta ufafanuzi Caf ambapo imeitaka klabu hiyo kulipa kiasi cha dola 15,000 ndio washiriki. Mwaka 2003, Mtibwa Sugar ilifungiwa na...

Like
465
0
Monday, 16 July 2018
Hawa Hapa Wachezaji waliobeba Tuzo Kwenye Kombe la Dunia 2018
Sports

KIUNGO na Nahodha wa Timu ya Taifa ya Croatia, Luka Modric ameibuka mshindi wa Tuzo ya Mchezaji Bora wa Mashindano ya Kombe la Dunia mwaka 2018 na kupewa Mpira wa Dhahabu wakati timu yake ikipoteza mchezo wao wa fainali kwa kukubali kichapo cha bao 4-2 kutoka kwa Ufaransa huko Urusi.   Modric ambaye amemaliza mashindano akiwa na mabao mawili, ameisaidia timu yake kutinga fainali ikiwa ni mara ya kwanza kwa timu hiyo kufikia hatua hiyio kubwa ya kihistoria.   Staa...

Like
614
0
Monday, 16 July 2018
Angalia Ufaransa Walivyobeba Kombe la Dunia – Video
Sports

TIMU ya Taifa ya Ufaransa imefanikiwa kunyakua Ubingwa wa Dunia mwaka 2018 baada ya kuifunga Croatia kwa bao 4-2.   Mabao ya Ufaransa yamewekwa kimiani na Mario Mandzukic aliyejifunga, Antoine Griezmann aliyefunga kwa njia ya penati pamoja, Paul Pobga pamoja na Kylian Mpabbe. Wakati huo mabao ya Croatia yamepachikwa kimiani na Ivan Perisic pamoja na Mario Mandzukic aliyesahihisha makosa yake kwa kuifungia timu yake bao la pili. Ubingwa huo kwa Ufaransa unakuwa wa pili baada ya kuutwaa pia katika mashindano...

Like
1223
0
Monday, 16 July 2018
Azam Yafanikiwa Kutetea Ubingwa Kombe la Kagame Yaitandika Simba 2-1
Sports

AZAM FC imefanikiwa kutetea ubingwa wake wa Kombe la Kagame baada ya jana Ijumaa kuifunga Simba mabao 2-1 katika mchezo wa fainali uliochezwa kwenye Uwanja wa Taifa, Dar. Katika mchezo huo ulioanza majira ya saa 12 jioni, Azam ilikuwa ya kwanza kupata bao dakika ya 32 kupitia kwa Shaban Idd Chilunda aliyeunganisha kwa kichwa mpira wa kona uliopigwa na Ramadhani Singano ‘Messi’. Simba ilisubiri mpaka dakika ya 62 kusawazisha bao hilo ambapo straika wake mpya, Meddie Kagere alifunga bao hilo...

Like
939
0
Saturday, 14 July 2018
CHIRWA ASAJILIWA DARAJA LA PILI MISRI
Sports

Mshambuliaji wa zamani wa Yanga raia wa Zambia, Obrey Chirwa rasmi Klabu ya Nogoom El Mostakbal Football Club. MSHAMBULIAJI wa zamani wa Yanga raia wa Zambia, Obrey Chirwa rasmi amesaini mkataba na Klabu ya Nogoom El Mostakbal Football Club ya nchini Misri.   Mshambuliaji huyo amejiunga na timu hiyo baada ya mkataba wake wa miaka miwili ya kuendelea kuichezea Yanga kumalizika kabla ya kutimkia Misri. Obrey Chirwa enzi akiwa Yanga. Mzambia huyo baada ya mkataba wake kumalizika aliuomba uongozi wa...

Like
463
0
Friday, 13 July 2018
SINGIDA WATOA TAMKO LAO JUU YA SUALA LA FEI TOTO KUSAINI YANGA
Sports

Baada ya kiungo Feisal Abdallah ‘Fei Toto’ kutambulishwa na Yanga jioni ya jana kwa kusainishwa mkataba wa miaka miwili, Uongozi wa Singida United umeibuka na kueleza kuwa hatima yake itaamuliwa na TFF pamoja na Bodi ya Ligi. Mapema jana asubuhi ripoti kutoka Singida zilisema wamemalizana na Toto kwa kuingia naye mkataba wa miaka mitatu usio wa awali huku picha na video zikisambaa mitandaoni kuhusiana na usajili wake ndani ya Singida United. Kwa mujibu wa Mkurugenzi wa Singida United, Festo Sanga,...

1
527
0
Friday, 13 July 2018
CROATIA YAUNGANA NA UFARANSA KUCHEZA FAINALI KWA KUICHAPA ENGLAND 2-1
Sports

Timu ya Taifa ya England imeaga michuano ya Kombe la Dunia kwa kupoteza mchezo wa nusu fainali dhidi ya Croatia kwa idadi ya mabao 2-1. Katika mchezo huo, dakika 90 zilimalizika kwa timu hizo kwenda sare ya bao 1-1 na kuamuriwa kuongezwa dakika30 za ziada ili kupata mshindi wa mechi. England walikuwa wa kwanza kuandika bao mnamo dakika ya 5 ya mchezo kwa njia ya mpira wa adhabu uliopigwa na kuwekwa kimiani na Kieran Trippier na baadaye kipindi cha pili...

Like
409
0
Thursday, 12 July 2018
RAGE AWACHANA NA KUWAPA USHAURI CECAFA, AWAKINGIA KIFUA YANGA
Sports

Mwenyekiti wa zamani wa klabu ya Simba, Ismail Aden Rage, amewashauri CEFACA kutoyachukulia mashindano ya KAGAME kama bonanza na badala yake yafuate ratiba. Rage ambaye aliwahi kuiongoza Simba kabla ya ujio wa utawala wa Evans Aveva, amewashauri CECAFA kupitia Katibu Mkuu wake, Nicholas Musonye wajipange upya ili kuondoa mkanganyiko kwa klabu za ukanda wa Afrika Mashariki. Kwa mujibu wa Radio EFM, auli ya Rage imekuja kufuatia baadhi ya klabu kujiondoa kutokana na ratiba ambayo haikuwa si rafiki kwao ikiwemo Yanga...

Like
550
0
Friday, 06 July 2018
Mambo Yakienda Vizuri, Patrick Aussems Kocha Mkuu Simba
Sports

Kama mambo yatakwenda sawa, Kocha Patrick Aussems atasaini mkataba leo kuanza kuinoa Simba. Aussems raia wa Ubelgiji tayari yuko nchini akiendelea na mazungumzo na Simba. Jana alikuwa uwanjani kuishuhudia Simba ikiivaa Singida United katika mechi ya michuano ya Kombe la Kagame. “Kweli kocha yuko nchini na kama mambo yatakwenda vizuri basi atasaini kati ya leo au kesho. Tayari ameiona timu ikicheza dhidi ya Singida United. Amekuwa na maoni yake ingawa hajazungumza sana,” kilieleza chanzo Aussems mwenye umri wa miaka 51...

1
1031
0
Friday, 06 July 2018