Sports

AUDIO: MASWALI NA MAJIBU YA MKONGWE KATIKA SOKA ATHER MWAMBETA
Slider

(09)Tanzania Simba na Yanga ni vilabu vikongwe unazungumziaje swala la kubadilisha makocha mara kwa mara je tatizo ni nini? (10)Timu ya taifa imekuwa haifanyi vizuri kiasi cha kilamtu kuhaha ili kuapata muarobaini wa tatizo hilo huku TFF ikitaka kupunguza wachezaji wa kigeni kutoka watano katika timu za ligi kuu ili kuwapa nafasi wazawa hili unalizungumziaje (11)Je viongozi wetu wa soka katika ngazi zote wanaongoza kwa kufata misingi ya kuendeleza soka? Na uwepo wa nyota wakigeni ni faida kwetu? (12)Mambo yanaenda...

Like
376
0
Friday, 06 February 2015
AFCON: VURUGU ZATAWALA MCHEZO WASIMAMISHWA DAKIKA 30
Slider

Michuano ya kombe la mataifa ya Africa hapo jana ilichukua sura mpya katika hatua ya nusu fainali kwa kuwakutanisha wenyeji wa michuano hiyo Equatorial Guinea na Ghana. Wachambuzi wa mpira wa miguu wamefananisha mechi hiyo na vita kufuatia vurugu kubwa zilizojitokeza uwanjani baada ya mchezo kusimamishwa kwa takribani dakika 30 baada ya fujo kuzuka kwa mashabiki wa Equitorial Guinea kuanza kurusha chupa upande wa mashabiki wa Ghana Hali hiyo iliwalazimu polisi wa kutuliza ghasia kutumia mabomu ya machozi na helicopter...

Like
305
0
Friday, 06 February 2015
AUDIO: MWENDELEZO WA MAJIBU YA MKONGWE KATIKA SOKA ATHER MWAMBETA KUPITIA MAKAO MAKUU YA MICHEZO
Slider

Baada ya jana Ather Mwambeta kuishia kwa kutaja kikosi cha Simba tangu alivyojiunganayo leo anaendelea Ather anataja kikosi cha Yanga kilichoitesa Simba kwakuifunga miaka mitano Ni mchezo gani bora nje na ndani ya Tanzania ambao haujawahi kutokea kwa upande wake kwanini? Tanzania ingekuwa juu kisoka kama tungekuwa na kina Samatha wengi yeye amecheza soka kwa mafanikio je katika familia yake kuna mtu ambae anaweza kufuata nyayo...

Like
466
0
Thursday, 05 February 2015
MICHEZO ITAKAYOCHEZWA LEO KATIKA LIGI MBALIMBALI BARANI ULAYA FEB 5
Slider

Michezo mitatu itachezwa leo hii katika ligi mbalimbali barani ulaya   katika ligi kuu ya soka ya nchini Hispania la liga kikosi cha kocha VICTOR FERNANDEZ Deportivo la corona wakiwa nyumbani katika uwanja wa Riazok watawakaribisha Eibar. Katika ligi ya bundesiliga ya huko ujerumani kocha ROBERTO DI MATEO akiwa katika uwanja wanyumbani atawaongoza vijana wake wa Schalke newfia au schalke 04 katika mchezo wao dhidi ya Borussia Monchengladbach. NA France ligi one klabu ya Saint Etienne ikiwa nyumbani itakipiga dhidi ya...

Like
326
0
Thursday, 05 February 2015
AUDIO: YALIYOJIRI KWENYE SPORT HEADQUARTER LEO FEB 04
Slider

ASSA MWAMBETA ninani alitokea wapi na alianza kucheza soka lini. MWAMBETA akiwa anaishi ilala kota pia aliendelea kucheza mpira katika timu mbali mbali. ASSA anaelezea jinsi alivyo hamia simba ambayo ilikuwa ikijulikana kama Sunderland. Alikitumikia kikosi hicho cha Sunderland kwa misimu mingapi. KATIBU MKUU WA AFRICANSPORTS KHATIBU ENZI: Nini kiliipoteza African sports kwenye ramani ya soka kwa kipindi kirefu na ilikuwa wapi kwa kipindi chote hicho kuna mikakati gani kuhakikisha timu inafanya vizuri ligi...

Like
329
0
Wednesday, 04 February 2015
LIVERPOOL YATHIBITISHA SAFARI YAKE YA AUSTRALIA
Slider

Klabu ya Liverpool imepanga kutembelea nchini Australia baadae mwaka huu ikiwa ni sehemu ya maandalizi ya kampeni ya klabu hiyo kwa mwaka 2015 hadi 2016 iliripoti klabu hiyo ya ligi ya Uingereza siku ya jumanne Liverpool kwa mara ya mwisho ilifanya safari katika Nchi ya Australia takribani miaka miwili iliyopita Klabu hiyo ikiwa nchini humo itacheza na klabu ya Brisbane Roar katika uwanja wa Queensland’s Suncorp tarehe 17 ya mwezi wa saba mwaka huu na baadae watacheza na klabu ya...

Like
328
0
Wednesday, 04 February 2015
AUDIO: YALIYOJIRI KWENYE SPORT HEADQUARTER LEO FEB 03
Slider

KENETH anaelezea ubora wa klabu za zamani na utofauti wa klabu za sasa. Nini kifanyike ili timu yetu ya taifa iweze kufanya vizuri Nitakribani miaka 26 sasa imepita tangu kikosi cha timu ya taifa taifa stars kushiriki katika michuano ya mataifa Africa na kwa nini haikuweza kushiriki kwa mara nyingine. Nini kikwazo katika mchezo wa soka tanzania MOHAMED MWAMEJA Ilikuaje ukahusishwa katika sakata la usajili dhidi ya keny mkapa AFRICAN SPORTS Mara baada ya klabu ya AFRICAN SPORT kupata nafasi...

Like
486
0
Tuesday, 03 February 2015
EVERTON YAMSAJILI LENNON KWA MKOPO
Slider

Everton imemsajili mshambuliaji wa Tottenham Aaron Lennon kwa mkopo mpaka mwisho wa msimu kabla dirisha la usajili halijafungwa hapo jumatatu Mshambuliaji huyo mwenye umri wa miaka 27 ameichezea klabu ya Spurs mara 267 mara baada ya kuwasili kwenye klabu hiyo mwaka 2005 na kufanikiwa kutwaa kombe la ligi Bosi wa Klabu ya Everton Roberto Martinez amezipiku klabu za Hull City na Stoke City katika kuupat wino wa mshambuliaji huyo na kuweka matumaini makubwa kutokana na uwezo pamoja uzoefu wake kwenye...

Like
228
0
Tuesday, 03 February 2015
AFCON: CRISTIAN ATSU AIINUA GHANA KUELEKEA NUSU FAINALI
Slider

Christian Atsu alifanikiwa kuziona nyavu mara mbili na kuifanya Ghana iicharange mabao 3-0 timu mwenyeji wa mashindano ya Afcon Guinea huko Malabo siku ya jumapili Atsu ameifanya timu yake hiyo ya Black Stars kupata njia nyeupe kwenye robo fainali alipofungua goli mnamo dakika ya nne kabla ya Kwesi Appiah hajaongeza goli linguine Atsu mshambuliaji anaechezea Everton kwa mkopo akitokea...

Like
227
0
Monday, 02 February 2015
CRYSTAL PALACE YAMNYAKUA MSENEGAL SOUARE
Slider

Klabu ya Crystal Palace imetangaza kwenye tovuti yao siku ya jumapili kwamba amemsajili msenegali Pape Souare akitokea Ufaransa Mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 24 alihitimu mafunzo ya soka kutoka kwenye kituo cha kukuza vipaji vya mpira wa miguu cha Lille’s youth academy na kuiwakilisha Senegal katika michuano ya AFCON huko Equatorial Guinea Souare amekuwa mchezaji wan ne kumwaga wino na kutua Crystal Palace katika dilisha la usajili kwenye kipindi hiki cha mwezi wa kwanza baada ya Jordon Mutch, aliekuwa...

Like
201
0
Monday, 02 February 2015
FRANCIS CHEKA AHUKUMIWA KIFUNGO CHA MIAKA 3 JELA
Slider

Bondia wa mchezo wa Masumbwi nchini Francis Cheka ambae makazi yake yapo mjini morogoro amehukumiwa kifungo cha miaka mitatu jela baada ya kukutwa na hatia yakumpiga mtu aliekuwa akimdai, akizungumza na efm kupitia kipindi cha Sport Headquarter baba mzazi wa Francis Cheka amesema haikuwa sahihi kwa mwanae kupewa hukumu hiyo na badalayake wangekaa na kuzungumza ili kuyamaliza matatizo hayo. Mzee huyo alienda mbali zaidi na kusema kuwa kuna watu wenye chuki na mwanae wameitumia kesi hiyo ya muda mrefu kutimiza...

Like
261
0
Monday, 02 February 2015