Sports

Messi: Inaniuma sana kukosa penalti Kombe la Dunia
Sports

Lionel Messi amesema inamuumiza sana baada ya Penati yake dhidi ya Iceland kuokolewa wakati Argentina ilipokutana na Iceland. Mkwaju wa penati wa Mchezaji huyu,30 na nyota wa Barcelona haukuleta madhara mbele ya mlinda mlango Hannes Halldorsson na kufanya timu hizi mbili kutoka sare ya 1-1 Messi alikuwa na matumaini makubwa ya kufanya vyema akitazama matokeo ya hasimu wake wa siku nyingi Cristiano Ronaldo hasa mabao matatu aliyoyafunga siku ya ijumaa dhidi ya Uhispania. ”Tumepata uchungu kwa kukosa alama tatu, kuanza...

Like
522
0
Monday, 18 June 2018
KOMBE LA DUNIA URUSI LEO NI ZAMU YA BRAZIL, MECHI ZINGINE KWA UJUMLA HIZI HAPA
Sports

Michuano ya Kombe la Dunia huko Urusi inaendelea tena Jumapili ya leo kwa jumla ya mechi tatu kupigwa. Brazil ambao wametwaa ubingwa wa mashindano hayo mara tano watakuwa wanacheza na Switzerland, wakati Ujerumani watakuwa wanakipiga na Mexico. Ratiba kamili ya mechi za leo hii hapa....

Like
507
0
Sunday, 17 June 2018
Yanga Yakubaliwa Ombi la Kujitoa Kagame, Nafasi yake Imechukuliwa na Vipers ya Uganda
Sports

Shirikisho la Soka Afrika Mashariki na Kati (CECAFA), limekubali maombi ya Yanga kujiondoa katika mashindano ya KAGAME baada ya kutuma barua iliyoeleza kuomba kujitoa Yanga ilituma barua kupitia TFF ikiomba kujiondoa ili kuwapa nafasi wachezaji wake mapumziko kwa ajili ya kujiandaa na mchezo wa Kombe la Shirikisho Afrika dhidi ya Gor Mahia FC ya Kenya. Barua hiyo ilieleza kuwa ratiba ya michuano imekuwa si rafiki kwao na itakuwa inawabana sababu wanapaswa kuwajibika kwenye mashindano ya shirikisho pia wachezaji wake wengi...

Like
484
0
Friday, 15 June 2018
Urusi yaanza Vema Mashindano ya Kombe la Dunia baada ya Kuibebesha Zigo la Mabao Saudi Arabia
Sports

Dakika 90 zimemalizika katika Uwanja wa Luzhniki kwa wenyeji Urusi kuibuka na ushindi wa kishindo wa mabao 5-0 dhidi ya Saudi Arabia katika mechi ya ufunguzi wa michuano ya Kombe la Dunia. Mechi hiyo ya aina yake imeshuhudiwa bao la kwanza likiwekwa kimiani mnamo dakika ya 12 na Ganzizky ambalo limeandika rekodi ya kuwa bao la kwanza katika mashindano ya Kombe la Dunia kwa mwaka huu. Mabao mengine yametiwa kimiani na Cheryshev (43′ minutes, 90’+1), Dzyuba (71′ ) na Golovin (90’+4)....

Like
499
0
Thursday, 14 June 2018
RATIBA YA MECHI ZA LIGI KUU ENGLAND IMETOKA, ARSENAL KUANZA NA MANCHESTER
Sports

Ratiba ya Ligi Kuu England imetoka rasmi leo ambapo mechi za kwanza zitaanza kuchezwa Jumamosi ya Agosti 11 2018. Ratiba inaonesha Arsenal itaanza na mabingwa watetezi wa taji hilo, Manchester City huku Man United wakianza na Leicester City. Ratiba kamili hii hapa Arsenal v Man City AFC Bournemouth v Cardiff City Fulham v Crystal Palace Huddersfield Town v Chelsea Liverpool v West Ham Man Utd v Leicester City Newcastle United v Spurs Southampton v Burnley Watford v Brighton Wolves v...

Like
544
0
Thursday, 14 June 2018
MAKAMU RAIS ZFA PEMBA AACHIA NGAZI
Sports

MAKAMU wa Rais wa Chama cha Soka Zanzibar (ZFA) Pemba, Ali Mohammed Ali, ametangaza rasmi kujiuzulu wadhifa huo. Makamu huyo ameungana na Rais wa chama hicho, Ravia Idarous Faina, Makamu wa Rais Unguja, Mzee Zamu Ali na Abdul Ghani Msoma. Akizungumza na waandishi wa habari Kisiwani Pemba, makamu huyo alisema hatua hiyo imekuja baada ya kujitathmini kwa kina na kuona tayari viongozi wenzake wameshaachia nyadhifa zao. “Baada ya kuona viongozi wenzangu wa juu wamejiuzulu nyadhifa zao, sina budi na mimi...

Like
520
0
Thursday, 14 June 2018
WACHEZAJI WA SIMBA WAPITA KWENYE TUZO YA MCHEZAJI BORA WA LIGI KUU TANZANIA BARA
Sports

Kamati ya Tuzo za Ligi Kuu ya Vodacom (VPL), imekamilisha uteuzi wa wachezaji 3 watakaowania tuzo ya mchezaji bora wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara msimu wa 2017/2018. Wachezaji watatu waliobaki katika kinyang’anyiro hicho ni Emmanuel Okwi, John Bocco na Erasto Nyoni wote wa Simba, ambapo kamati ya Tuzo hiyo ya Mchezaji Bora imeandaa utaratibu wa kupiga kura kuwashirikisha Wahariri wa Habari za Michezo, manahodha wa timu za Ligi Kuu ya Vodacom na makocha wa timu za Ligi Kuu....

Like
958
0
Thursday, 14 June 2018
Kombe la Dunia Kuanza kensho na Wenyeji Urusi Dhidi ya Saudi Arabia
Sports

Imebaki siku moja kuanza kwa Mashindano ya Kombe la dunia litakalo anza kule Urusi kesho Alhamisi tarehe 14 kati ya Wenyeji Urusi dhidi ya Saudi Arabia. Timu zipo 32 ambazo ni hizi hapa Kundi A: Russia, Saudi Arabia, Egypt na Uruguay Kundi B Morocco, Iran, Portugal na Spain Kundi C France, Australia, Peru na Denmark Kundi D Argentina, Iceland, Croatia, Nigeria Kundi E Costa Rica, Serbia, Brazil na Switzerland Kundi F Germany, Mexico, Sweden na South Korea Kundi G Belgium,...

Like
582
0
Wednesday, 13 June 2018
Mavugo Afunguka Mstakabali wake na Klabu ya Simba
Sports

Mshambuliaji wa Simba, Mrundi Raudit Mavugo ameongea na #SportsHQ, ambapo amefunguka na kueleza kuwa mkataba wake na klabu yake unamalizika Julai 7 2018. Wakati mkataba wake ukielekea kumalizika, Mavugo amesema Timu nyingi zinamtaka zikiwemo Yanga Sc, Singida United, Gor mahia, na Fc Leopard  zinazomuwinda hivi sasa kwa ajili ya kukiboresha kikosi chake. Mbali na kuhusishwa na Simba, Mavugo pia amesema ataendelea kuitumikia klabu hiyo kutokana na namna ilivyomlea tangu ajiunge na wekundu hao wa Msimbazi endapo watamuongezea mkataba mwingine....

Like
1196
0
Wednesday, 13 June 2018
Wachambuzi wa Soka Wasema Alikiba Anaweza Kucheza Ulaya
Sports

Baadhi ya Wachambuzi wa Soka nchini akiwemo kocha  wa Dodoma FC, Jamhuri Kihwelo  amesema msa­nii wa Bongo Fleva nchini, Ally Salehe Kiba ‘Alikiba’ ni mchezaji mwenye uwezo wa kucheza Ligi Kuu Bara, na kama aki­andaliwa vizuri anaweza kucheza hata Ulaya.   Julio ameyasema hayo akiwa kocha wa Team Sa­matta mara baada ya kum­alizika kwa mchezo maalum wa kuchangia elimu ulio­andaliwa na msanii huyo akishirikiana na Mbwana Samatta anayecheza soka la kulipwa katika Klabu ya Genk nchini Ubelgiji. Katika mchezo huo...

Like
742
0
Sunday, 10 June 2018
Simba sc Kuwalipia Kisasi Yanga Kenya
Sports

Baada ya kuiondosha Kariobangi Sharks FC katika michuano ya SportPesa Super Cup, klabu ya Simba itakutana na wababe wa Yanga, Kakamega HomeBoyz, kesho Alhamis kwenye Uwanja wa Afraha. Michuano hiyo inayoendelea mjini Nakuru itakuwa inazikutanisha Simba na Kakamega kwenye mchezo huo wa hatua ya nusu fainali itakayoanza majira ya saa 9 kamili mchana. Kakamega walifuzu kufika fainali baada ya kuifunga Yanga katika ufunguzi wa pazia la mashindano hayo kwa jumla ya mabao 3-1. Wakati huo Simba nayo ilitinga nusu fainali...

Like
1160
0
Wednesday, 06 June 2018