Sports

PEP GUARDIOLA KOCHA BORA LIGI KUU UINGEREZA, AWABWAGA MAKOCHA WENZAKE
Sports

Kocha wa Mabingwa Ligi Kuu Uingereza, Pep Guardiola ameshinda tuzo ya Kocha Bora wa Ligi Kuu England kufuatia kuiwezesha Manchester City kutwaa ubingwa wa Ligi Kuu nchini humo na kuwashinda Makocha wenzake walikuwepo kwenye Kinyang’anyiro hicho ambao ni Roy Hogson wa Crystal Palace, Jurgen Klopp wa Liverpool, Chris Hughton wa Brighton, Rafael Benitez wa Newcastle United na Sean Dyche wa Burnley. Guardiola ameisaidia City kufikisha pointi 100 msimu huu pamoja na kushinda jumla ya mechi 32 huku akipoteza michezo miwili...

Like
480
0
Wednesday, 16 May 2018
MCHEZO KATI YA SIMBA VS KAGERA SUGAR WABADILISHWA
Sports

Bodi ya Ligi kupitia Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) imeufanyia mabadiliko mchezo namba 226 wa Ligi Kuu Bara kati ya Simba SC dhidi ya Kagera Sugar. Mchezo huo awali ulipaswa kuchezwa Jumapili ya Mei 20 2018 lakini sasa umefanyiwa mabadiliko na utapigwa Jumamosi ya Mei 19 2018. Mechi hiyo inatarajiwa kuanza majira ya saa 8 kamili za mchana ukienda sambamba na hafla ya kuikabidhi Simba kombe la ligi ililolitwaa msimu huu wa 2017/18 ikiwa imejikusanyia alama 68. Sababu za mabadiliko...

Like
478
0
Wednesday, 16 May 2018
KIKOSI CHA ARGENTINA KUELEKEA URUSI KWENYE KOMBE LA DUNIA HIKI HAPA
Sports

Hiki hapa kikosi cha  wachezaji wa timu ya taifa ya Argentina walioitwa na Kocha Jorge Sampaoli kwa ajili ya michuano ya Kombe la Dunia inayoanza mwezi Juni 2018 nchini Russia. Makipa: Sergio Romero, Nahuel Guzman, Willy Caballero, Franco Armani Walinzi: Gabriel Mercado, Javier Mascherano, Nicolas Otamendi, Federico Fazio, Nicolas Tagliafico, Marcos Rojo, Marcos Acuna, Ramiro Funes Mori, Cristian Ansaldi, Eduardo Salvio, German Pezzella Viungo: Angel Di Maria, Ever Banega, Lucas Biglia, Manuel Lanzini, Gio Lo Celso, Ricardo Centurion, Guido...

Like
636
0
Wednesday, 16 May 2018
WAJEUMANIA WAKASILIKA WACHEZAJI WAO KUPIGA PICHA NA RAIS WA UTURUKI
Sports

Mesut Özil (kushoto) alimkabidhi rais Erdogan jezi yake ya Arsenal Nyota watatu wa Uturuki walipiga picha na bwana Erdogan (kutoka kushoto): Ilkay Gündogan (Man City); Mesut Özil (Arsenal) na Cenk Tosun (Everton) Shirikisho la soka Ujerumani (DFB) limeshutumu wachezaji wake wa kimataifa Mesut Özil na Ilkay Gündogan kwa kupiga picha na rais wa Uturuki Recep Tayyip Erdogan. Wachezaji hao wawili waliozaliwa Ujerumabni, wote wenye asili ya Kituruki, walimkabidhi Erdogan fulana zao walizozisaini katika hafla moja mjini London siku ya Jumapili....

Like
471
0
Wednesday, 16 May 2018
YANGA SC KUIVAA RAYON SPORT BILA MASTAA WAKE
Sports

Timu ya Yanga leo majira ya saa moja usiku kitashuka dimbani kwenye uwanja wa Taifa kuumana na Rayon Sport ya Rwanda katika mechi ya Kombe la Shirikisho Afrika, bila wachezaji wake nyota ambao ni Amis Tambwe bado hajaimarika vizuri kiafya, Donald Ngoma, Beno Kakolanya ambaye alijitonesha goti lake katika mechi ya ligi dhidi ya Tanzania Prisons, Ibrahim Ajibu aliye na matatizo ya kifamilia, na Papy Kambamba Tshishimbi aliyesafiri kurejea kwao kutokana na matatizo ya kiafya kwa ajili ya...

1
875
0
Wednesday, 16 May 2018
KIKOSI CHA BRAZILI KITAKACHOCHEZA KOMBE LA DUNIA NCHINI URUSI
Sports

Timu ya Taifa ya Braziri wametangaza kikosi chao kitakachocheza katika michuano ya Kombe la Dunia nchini Urusi. Walinda lango: Alisson (Roma), Ederson (Manchester City), Cassio (Corinthians). Mabeki: Danilo (Manchester City), Fagner (Corinthians), Marcelo (Real Madrid), Filipe Luis (Atletico Madrid), Thiago Silva, Marquinhos (both PSG), Miranda (Inter Milan), Pedro Geromel (Gremio). Viungo wa kati: Casemiro (Real Madrid), Fernandinho (Manchester City), Paulinho (Barcelona), Fred (Shakhtar Donetsk), Renato Augusto (Beijing Guoan), Philippe...

Like
697
0
Tuesday, 15 May 2018
Yanga Kuikabili Rayon Sport ya Rwanda, Kesho Taifa
Sports

  Kubwa kwenye #SportsHQ Leo Ni Rayon Sport  ya Rwanda yaja na mastaa wao kibao kuja kuikabili Yanga SC kesho. Je, Kwa matokeo yaliyopita Unaipa nafasi gani Yanga kuelekea mchezo huu. Azam FC kujipanga upya msimu ujao baada ya kufanya vibaya msimu huu na kushindwa kutwaa ubingwa...

Like
555
0
Tuesday, 15 May 2018
Mabinti wa Tanzania Waishio Mazingira Magumu Watinga hatua ya Final Baada ya Kuwatandika Uingereza Mabao 2-1
Sports

Baada ya Marekani kutandikwa Mabao 5-0, kutoka kwa mabinti wa Tanzania waishio mazingira magumu. Leo ilikuwa ni zamu ya Timu ya Uingereza ambapo wamepokea kipigo cha mabao 2-1 kutoka kwa mabinti hao kufanikiwa kutinga fainali za Kombe la Dunia Mabao ya Tanzania yamefungwa na Mastura Fadhili na Asha Omari. Kikosi hicho kitapambana na Brazil katika fainali ya Kombe la Dunia (la Watoto wanaoishi mazingira magumu) kati ya Timu ya Tanzania na Brazil itachezwa Jumatano, jijini Moscow nchini Urusi....

Like
569
0
Monday, 14 May 2018
Simba Watinga Bungeni, Wabunge Wawashangilia
Sports

Timu ya Simba wametinga Bungeni jijini Dodoma leo baada ya kupata mwaliko wa Spika Job Ndugai. Mwenyekiti wa Bunge, aliyekuwa akiongoza kikao cha leo, Najma Giga, Naibu Waziri wa Tamisemi, Joseph Kakunda ndiye alianzisha shangwe za kuwapokea Simba bungeni kabla hawajatambulishwa. Kakunda kabla ya kujibu swali bungeni, alisema, leo ameamka saa 10 alfajiri akijiandaa kujibu maswali lakini furaha ya ubingwa wa Simba ilitawala kichwa chake hali ambayo ilipelekea wabunge wengine kushangilia. “Sasa naamini Watanzania watapata wawakilishi wazuri wa...

Like
613
0
Monday, 14 May 2018
Timu ya Watoto wa Kike Waishio Mazingira Magumu Watoa Kipigo Kikali kwa Wamarekani
Sports

  Timu ya watoto wa kike wanaoishi katika mazingira magumu kutoka Tanzania, imewatandika timu ya watoto kama hao kutoka Marekani, kwa mabao 5-0 katika mashindano ya Street Children World Cup na kutinga hatua ya nusu fainali. Katika mashindano hayo yaliyoandaliwa na Shirika la Street Child United, timu ya watoto wa kike wa Tanzania imefanikiwa kutinga hatua hiyo ya nusu fainali, ikiwa haijapoteza mchezo hata mmoja naikiwa haijafungwa goli hata moja, na kuweka rekodi ya kipekee. Mchezo wa timu ya Tanzania dhidi...

Like
656
0
Monday, 14 May 2018
Jiji la Mbeya Kuwaka Moto, leo kati ya Mbeya City VS Prisons
Local News

Ni vita kubwa leo jiji Mbeya, ambapo pale wafalme wawili  katika jiji hilo, Mbeya City na Tanzania Prisons. Watakapokutana kwenye mchezo wa ligi kuu kutafuta point 3. Mbeya City wanaingia katika mchezo huo wakiwa wameachwa alama 15 na Tanzania Prisons walio na 44 kwenye msimamo wa ligi.   Wakati huo Mbeya City wao wamejikusanyia jumla ya pointi 29 pekee katika michezo 27 waliyocheza msimu huu.   Taarifa kutoka jijini Mbeya zinaeleza wadau na mashabiki wengi wanausubiria kwa hamu mchezo huo...

Like
622
0
Sunday, 13 May 2018