JPM MGENI RASMI KATIKA UFUNGUZI WA MKUTANO WA MASHAURIANO WA BODI YA USAJILI WA MAKANDARASI CRB

JPM MGENI RASMI KATIKA UFUNGUZI WA MKUTANO WA MASHAURIANO WA BODI YA USAJILI WA MAKANDARASI CRB

Like
220
0
Thursday, 26 May 2016
Local News

RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Joseph Magufuli atakuwa mgeni rasmi katika ufunguzi wa Mkutano wa mashauriano wa Bodi ya Usajili wa Makandarasi Nchini (CRB) unaofanyika leo katika ukumbi wa Diamond Jubilee jijini Dar es Salaam.

 

Mkutano huo wa mwaka wa mashauriano na wadau wa Bodi ya Usajili wa Makandarasi unatarajiwa kuhudhuriwa na  zaidi ya Makandarasi na wadau wa Sekta ya Ujenzi wapatao elfu 1,000 na utafanyika kwa siku mbili leo na kesho.

Comments are closed.