Your message has been sent, you will be contacted soon

Call Me Now!

Close
Home » Entertanment » KEDRICK LAMAR AITENDEA HAKI BEAT YA PHARELL WILLIAMS

KEDRICK LAMAR AITENDEA HAKI BEAT YA PHARELL WILLIAMS

Kwa mujibu wa taarifa zilizotoka hivi karibuni inadaiwa kuwa producer Pharell Williams na mwenzie walitengeneza beat ya ngoma ya Kendrick Lamar ilioshinda Award kibao na kisha kutiwa vokali na rappa mwengine mkubwa mwaka moja kabla ya rappa lamar kupewa na kufanya alichofanya.

Mwaka 2014 katika party moja baada ya grammy ilidaiwa kuchezwa clip moja ambayo ilisikika kama wimbo huo alisema shahidi mmoja, akasema aidha ilikua ni sauti ya pusha T au fabolous ndie alirap katika biti hiyo.

je kwako unadhani kama wangeiachia hiyo badala ya kendrick ingeshinda tunzo zote hizo? #kuvifactsoftheday #kuvifacts cc @efm_93.7

Comments

comments