Your message has been sent, you will be contacted soon

Call Me Now!

Close

RIO2016: RUDISHA ASHINDA MBIO ZA MITA 800

Mwanariadha raia wa Kenya amedhihirisha umwamba wake baada ya kushinda mbio za mita 800 huko Rio De Jeneiro nchini Brazil usiku wa kuamkia leo. Mwanariadha huyo mwenye miaka…

RIO 2016: MURRAY ATWAA MEDALI YA DHAHABU

Muingereza Andy Murray yeye amekuwa mcheza Tenisi wa kwanza kushinda medali mbili za dhahabu za Olympiki kwa mchezaji mmoja mmoja baada ya kumshinda muargentina Juan Martin del Potro….

RIO2016: USAIN BOLT ATWAA MEDANI YA DHAHABU YA MITA 100

Mwanariadha wa Jamaica, Usain Bolt, ameandikisha historia ya kuwa mwanariadha wa kwanza kushinda nishani ya dhahabu kwa mara ya tatu mfululizo, katika mbio za mita mia moja, kwenye…

RIO2016: KISANGA CHA MAJI KUBADILIKA RANGI KUPATIWA UFUMBUZI

Waandaaji wa michuano ya Rio wamesema kuwa Bwawa la kuogelea litarudi kwenye rangi yake ya awali baadaye hii leo, baada ya kubadilika na kuwa na rangi ya kijani…

WAPIGA KURA ZAMBIA WACHAGUA VIONGOZI

Wapiga kura nchini Zambia wameanza kufika katika vituo vya kupigia kura kushiriki uchaguzi wa urais na wabunge. Kumekuwa na ushindani mkali na kipindi cha kampeni kilikumbwa na vurugu….

RIO2016: WACHEZAJI KOREA KUSINI NA KASKAZINI WAJIPIGA SELFIE

Wanamichezo wa mazoezi ya viungo kutoka Korea Kusini na Kaskazini, ambao wanashiriki Michezo ya Olimpiki Rio 2016, wameuonesha ulimwengu ishara ya umoja, kwa kupiga selfie pamoja. Lee Eun-ju…

SABABU YA SAMAKI KUPUNGUA ZIWA TANGANYIKA

Utafiti mpya umebaini kupungua kwa idadi ya samaki katika Ziwa Tanganyika, mojawapo ya maziwa muhimu zaidi kwa uvuvi duniani, kumetokana na ongezeko la joto duniani katika karne moja…

DC KINONDONI: “JIAJIRI USISUBIRI KUAJIRIWA”

Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni Ally Salum Hapi ametambulisha mradi mpya unaoenda kwa jina la ‘JIAJIRI USISUBIRI KUAJIRIWA’ mapema leo katika kipindi cha #JotoLaAsubuhi. Hapi amesema lengo la…

PICHA: BWANA E AMWAGA WESE BUREEE TEMEKE, YOMBO BUZA

Wale wadau wa E-fm wenye sticker za namba ya bahati 93.7 wamebahatika kuwekewa wese full tank kutoka kwa Bwana E katika kituo cha mafuta cha Lake Oil Yombo…

BARCELONA YARIPOTIWA KUFIKIA MAKUBALIANO NA JAVIER MASCHERANO

Klabu ya Fc Barcelona imerepotiwa kufikia makubaliano na mlinzi wake ‪Javier Mascherano‬ juu ya kuongeza mkataba wa kuendelea kusalia klabuni hapo kwa miaka mitatu zaidi kutoka kwenye mkataba…