Your message has been sent, you will be contacted soon

Call Me Now!

Close

GONZALO AKABIDHIWA JEZI NO 9

Nyota mpya wa klabu ya Juventus ya Italia Gonzalo Higuain amekabidhiwa jezi no 9 kwenye kikosi cha mabingwa hao wa ligi kuu ya Italia Serie A. Higuain mwenye…

ARSENAL YAPATA PIGO

Klabu ya Arsenal imepata pigo baada ya nyota wake Per Mertesacker kuripotiwa kuwa atakaa nje ya uwanja kwa muda wa miezi 5 akisumbuliwa na maumivu ya jeraha la…

SAKHO MGUU NDANI,MGUU NJE NDANI YA LIVERPOOL

Maisha ya mlinzi wa kati wa Liverpool Mamadou Sakho yanaonekana kuanza kuwa magumu baada ya kocha wa klabu hiyo Jurgen Klopp kuamuru nyota huyo arudi nchini England kutoka…

NEC YATAKA TUME HURU

Dar es Salaam. Baada ya kukamilisha Uchaguzi Mkuu wa Oktoba mwaka jana kwa mafanikio, Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imetoa mapendekezo saba kwa Serikali ili iyashughulikie kwa…

SUMTRA KUISHTAKI UDART KWA KUTOZA NAULI ZAIDI

Dar es Salaam. Mamlaka ya Udhibiti wa Usafiri wa Majini na Nchi Kavu (Sumatra), imesema wakati wowote kuanzia sasa itaufikisha mahakamani uongozi wa Mabasi ya Kwenda Haraka (Udart)…

LALIGA: HUU NDIO MKWANJA ULIOVUNWA NA BARCELONA KATIKA MSIMU WA 2015/16

Machampion wa kandanda nchini Hispania klabu ya Fc Barcelona imetangaza kuvuna kitita cha Euro million 679 katika msimu uliopita 2015/16 wa ligi kuu ya huko ‪#‎Laliga‬. Katika makusanyo…

SPORTPESA YA KENYA KUDHAMINI KLABU YA EPL

Kampuni ya mashindano ya bahati nasibu inayodhamini Ligi Kuu ya Kenya imetia saini mkataba wa kuwa mdhamini wa klabu ya Hull City ya Uingereza. Kampuni hiyo ya SportPesa,…

DEBI YA MANCHESTER YATIBUKA

Mechi ya kirafiki kati ya miamba wa Uingereza, Manchester City na Manchester United, imefutiliwa mbali kutokana na mvua kubwa. Mechi hiyo ilikuwa imepangiwa kuchezewa uwanja waBirds Nest, Uchina…

INDIA: WATU WAPEWA LIKIZO KWENDA KUSHUHUDIA UZINDUZI WA FILAMU

Wafanyakazi wengi kusini mwa India leo wamepewa likizo kwa sababu ya filamu ya mwigizaji filamu inayoanza kuonyeshwa kwenye kumbi za sinema leo.Filamu hiyo ni ya mwigizaji nyota wa…

CAF YAPATA MDHAMINI MPYA

Shirikisho la Soka barani Africa (CAF) limepata mdhamini mpya baada ya kumalizika kwa mkataba wake na kampuni ya mawasiliano ya Orange. Orange imekuwa mdhamini mkuu wa mashindano makubwa…