Your message has been sent, you will be contacted soon

Call Me Now!

Close

EURO 2016: POMBE MARUFUKU

Waziri wa maswala ya ndani wa ufaransa , Bernard Cazeneuve, ametoa ushauri kwa wakuu wa miji mbalimbali wenyeji wa kinyanganyiro cha soka barani ulaya Euro2016, kupiga marufuku matumizi…

ERITREA NA ETHIOPIA ZAPIGANIA ENEO LA MPAKANI

Eritrea imeishtumu Ethiopia kwa kutekeleza shambulio katika mpaka wake ambao una ulinzi mkali. Wakazi katika eneo la Tsorona wanasema wamesikia milio ya risasi na kuona wanajeshi wakielekea katika…

WANANCHI WAJIPATIA PESA TASLIMU KWENYE MCHEZO WA SAKASAKA YA EFM REDIO

Mchezo wa SAKASAKA unaoendeshwa na kituo cha EFM redio umeanza rasmi siku ya jumapili ya tarehe 12/06/2016 pale viwanja vya Mcanada, Tegeta ukiwahusisha wakazi wa wilaya ya Kinondoni….

PICHA: SHOW YA JOTO LA ASUBUHI BUGURUNI

Wakazi wa Buguruni leo wameshuhudia jinsi watangazaji wa kipindi cha Joto la Asubuhi ambao ni Pj, Gerald Hando na adella Tillya wakitangza Live katika eneo la Buguruni Mataa…

WASICHANA 500 WA TANZANIA WANATUMIKA ASIA

Serikali imesema zaidi ya wasichana 500 wanatumikishwa katika kazi hatari zikiwemo za ukahaba katika nchi za Asia na Uarabuni. Taarifa ya wizara ya mambo ya nje imesema imepata…

MAAFISA 302 WA POLISI WAFUTWA KAZI KENYA

Takriban maafisa 302 wa polisi wamefutwa kazi nchini Kenya kwa kukataa kukaguliwa tangu mpango huo wa kutaka kukabiliana na ufisadi kuanzishwa mwaka 2013,kulingana na tume inayotekeleza ukaguzi huo….

SAKASAKA 2016 INAKUPA NAFASI YA KUTWAA MILIONI TATU

Baada ya kukabidhi magari mawili na pikipiki kumi kwa wasikilizaji wake kupitia shindano la shikandinga , EFM redio inakuja na donge nono kupitia mchezo wa sakasaka ambao huchezeshwa…

HILLARY CLINTON AJITANGAZIA RASMI USHINDI

HILLARY CLINTON amejitangazia rasmi ushindi kwenye kura za mchujo za chama chake cha Democratic baada ya kushinda majimbo kadhaa muhimu kwenye chaguzi za jana na hivyo kujiimarishia nafasi…

TISHIO LA BOMU LAILAZIMU NDEGE YA EGYPT KUTUA GHAFLA

NDEGE ya shirika la EgyptAir ambayo ililazimika kutua nchini Uzbekistan kutokana na udanganyifu wa kuwepo kwa bomu, imeruhusiwa kuendelea na safari yake kutoka Cairo kwenda Beijing.   Abiria…

WAMILIKI WA MAGARI WAMETAKIWA KUYAKATIA BIMA MAGARI YAO

WAMILIKI na Madereva wa Magari nchini wametakiwa kuhakikisha kuwa magari yote yanayotembea barabarani yamekatiwa bima iliyotolewa na kampuni iliyosajiliwa na mamlaka ya bima  kufuatia badala ya kutumia bima…