Your message has been sent, you will be contacted soon

Call Me Now!

Close

ZITTO AHOJIWA NA POLISI

JESHI la polisi kanda maalumu ya dar es salaamu limemuita na kumuhoji mbunge wa kigoma mjini ZITTO KABWE kwa ajili ya kupata ufafanuzi juu ya maudhui ya hotuba…

NYANI AZIMA UMEME KOTE NCHINI KENYA

ampuni ya kuzalisha umeme nchini Kenya, KENGEN imetuma taarifa kwa vyombo vya habari ikiomba radhi kwa ukosefu wa umeme Kwa hapo jana. Hilo sio jambo geni. Mara kwa…

AHADI HII YA SAMATTA HUENDA ITABADILISHA TASWIRA YA SOKA LA BONGO

NAHODHA wa Timu ya Soka ya Tanzania (Taifa Stars) Mbwana Ali Samatta ameahidi kujenga kituo maalum nchini cha kuibua na kukuza vipaji vya wanasoka wachanga ili wafikie viwango…

MATUKIO KATIKA PICHA KOMAA CONCERT 2016

Kutoka Viwanja Vya Posta Kijitonyama wakazi wa jiji la Daresalaam waliungana kwa pamoja kwenye tukio la kihistoria lililowakutanisha madereva wa bodaboda na bajajiji kutoka karibu kila kona ya…

HUYU NDIE NYOTA MPYA ANAETUA ARSENAL

Kijana wa miaka 29 Jamie Vardy kutoka Leicister City anatarajiwa hii leo kutoa majibu iwapo atajiunga na Club ya Arsenal kabla hajaelekea kwenye michuano ya Euro za mwaka…

HILLARY APETA JIMBO LA PUERTO RICO

Vyombo vya habari nchini Marekani, vinaripoti kuwa mgombea wa urais wa chama cha Democratic, Hillary Clinton ameshinda uteuzi wa chama hicho katika eneo la Puerto Rico. Ushindi huo…

MWILI WA ALI WAWASILI KENTUCKY

wa aliyekuwa bondia mashuhuri duniani Mohammed Ali, umewasili mjini Louisville, Kentucky, ambako atazikwa siku ya Ijumaa. Mwili wa bondia huyo wa zamani ulisafirishwa kwa msafara wa magari kutoka…

WHO LAHIMIZA MAENEO YALIYOATHIRIKA NA ZIKA KUCHUKUA TAHADHARI

SHIRIKA la Afya Duniani (WHO) limewahimiza watu wanaotoka katika sehemu zilizoathirika na virusi vya Zika kuzingatia mbinu za kujikinga endapo mtu anafanya mapenzi au kujiepusha na ngono kwa muda…

JARIBIO LA KOMBORA LA KOREA KUSINI LAFELI

KOREA Kaskazini imefanya jaribio lingine la makombora yake ya masafa marefu katika eneo la mashariki ya pwani yake lakini linaonekana kufeli. Wakizungumzia makombora hayo wanajeshi wa Korea Kaskazini wamesema…

WAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA ATOA WITO HUU KWA WATAALAMU WA UHIFADHI WA URITHI ASILIA

WAZIRI MKUU wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Kassim Majaliwa amewataka wataalamu wa mambo ya malikale na uhifadhi wa urithi asilia watafute mbinu zitakazoimarisha utunzaji wa rasilmali hizo bila…