Your message has been sent, you will be contacted soon

Call Me Now!

Close

DKT. SHEIN: ZANZIBAR HAPATAKUWA NA UCHAGUZI HADI MWKA 2020

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dkt. Ali Mohamed Shein amewaeleza wananchi kisiwani Pemba kuwa Zanzibar hapatakuwa tena na uchaguzi hadi mwaka 2020 na kwamba kwa sasa yeye…

SAMATTA AIONGOZA KRC GENK KUCHEZA EUROPA

Mshambuliaji wa kimataifa wa Tanzania, Mbwana Samatta ameingoza KRC Genk kufuzu kucheza Ligi ya Europa baada ya kuichapa Sporting Charleroi kwa mabao 5­-1 na kushinda kwa jumla ya…

IVORY COAST: KESI DHIDI YA MKE WA GBAGBO YAANZA

Kesi ya mashtaka ya ukiukaji wa kibinaadamu dhidi Mke wa aliyekuwa rais wa Ivory Coast Simone Gbagbo,imeanza katika mahakama ya mji mkuu wa Abidjan. Simone, anayejulikana kwa jina…

HABRE AHUKUMIWA KIFUNGO CHA MAISHA JELA

ALIYEKUWA rais wa Chad Hissene Habre amehukumiwa kifungo cha maisha jela baada ya kupatikana na hatia ya kuhusika kwenye uhalifu dhidi ya ubinadamu , ubakaji na utumwa wa…

POLISI KUCHUNGUZA KIFO CHA DADA WA BILIONEA MSUYA

JESHI la polisi kanda maalumu ya Dar es salaamu limethibitisha kuundwa kwa timu maalumu kwa ajili ya kuchunguza na kupeleleza kifo cha dada wa bilionea Msuya ambapo tayari…

HUU NDIO UTEUZI MPYA ULIOFANYWA NA RAIS MAGUFULI

RAIS wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania Dokta John Pombe Magufuli amemteua Jaji shabani Ally Lila, kuwa Jaji wa Mahakama ya Rufani ambaye kabla ya uteuzi huu alikuwa…

WALIOJARIBU KUSHAMBULIA NDEGE WAHUKUMIWA MAISHA JELA

Mahakama ya kijeshi kwenye mji mkuu wa Somalia Mogadishu, imewahukumu kifungo cha maisha wanaume wawili ambao walipatikana na hatia ya kupanga shambulizi dhidi ya ndege ya shirika la…

MAREKANI: MAUAJI YA SOKWE YAZUA HISIA

Mauaji ya Sokwe katika mbuga ya wanyama ya Cincinnati nchini Marekani yamezua utata katika mtandao wa Twitter. Sokwe huyo anadaiwa kumuangusha na kumvuruta kijana wa miaka minne. Sokwe…

ALEXANDER GAULAND ADAIWA KUTOA MATAMSHI YA KIBAGUZI

Naibu kiongozi wa Chama cha kupambana na uhamiaji nchini Ujerumani amezungumza maneno ya kibaguzi dhidi ya mchezaji nyota wa Ujerumani Jerome Boateng ambaye baba yake ni raia kutoka…

ZLATAN IBRAHIMOVIC AITWA NA KLABU YA UINGEREZA

Aliyekuwa mshambuliaji wa klabu ya PSG nchini Ufaransa Zlatan Ibrahimovic amesema kuwa alipokea ombi la kujiunga na kilabu moja ya ligi ya Uingereza lakini akakataa kuthibitisha iwapo klabu…