Your message has been sent, you will be contacted soon

Call Me Now!

Close

MUGABE ASISITIZA KUTOACHIA MADARAKA

RAIS wa Zimbabwe Robert Mugabe amesema kuwa yeye sio Mmarekani wala Muingereza wakati akiwahutubia karibu watu elfu 50,000, wafuasi wake kwenye mkutano uliofanyika kwenye mji mkuu Harare kwa heshima…

HUKUMU YA KESI YA SHAMBULIO LA AL-SHABAB UGANDA

MAHAKAMA mjini Kampala leo inatarajiwa kutoa hukumu katika kesi ambapo wanaume 13 wameshtakiwa kuhusiana na mashambulio ya mabomu yaliyotekelezwa na al-Shabaab mwaka 2010. Watu zaidi ya 70 walifariki kwenye…

MTU ASIYEFAHAMIKA AINGILIA WANAWAKE KINGUVU NYAKATI ZA USIKU

WANAWAKE wakazi wa mji wa Kigoma, wamekumbwa na taharuki kufuatia kuibuka mtu asiyefahamika anayewaingilia kinguvu wakati wamelala kwenye nyumba zao usiku huku akitumia panga kuwatisha au kuwakata kata mapanga…

JPM MGENI RASMI KATIKA UFUNGUZI WA MKUTANO WA MASHAURIANO WA BODI YA USAJILI WA MAKANDARASI CRB

RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Joseph Magufuli atakuwa mgeni rasmi katika ufunguzi wa Mkutano wa mashauriano wa Bodi ya Usajili wa Makandarasi Nchini…

BRAZIL: MKANDA WA VIDEO WAMUUMBUA WAZIRI

WAZIRI wa mipango wa serikali mpya ya Brazil amewekwa pembeni baada ya kukutwa katika mkanda wa video akifanya njama ya kukwamisha uchunguzi mkubwa wa nchi hiyo unaohusu ufisadi. Katika…

HILLARY CLINTON AKATAA KUSHIRIKI MDAHALO DHIDI YA SANDERS

MGOMBEA urais wa Marekani anayeongoza katika kinyang’anyiro cha kumteua mgombea wa chama cha Democratic Hillary Clinton amekataa kushiriki mdahalo wa nne dhidi ya mpinzani wake Bernie Sanders. Maafisa wake…

WAJUMBE WA BARAZA LA WAWAKILISHI WATAKIWA KUSHIRIKIANA VYEMA

WAJUMBE wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar wametakiwa kushirikiana vyema ili kuunda nguvu ya pamoja itakayosaidia kuharakisha maendeleo ya nchi kwa ufanisi zaidi.   Wito huo umetolewa na Chama cha Mapinduzi…

CHAWATA SERIKALI KUSIMAMIA SHERIA NA KANUNI ZA USALAMA BARABARANI

CHAMA cha Walemavu Tanzania-CHAWATA-kimeitaka Serikali kupitia kikosi cha usalama barabarani kusimamia sheria na kanuni za usalama barabarani ili kunusuru vijana wanaopata ulemavu kupitia ajali zinazotokana na usafiri wa bodaboda….

FIFA YAMTIMUA NAIBU KATIBU

Shirikisho la soka duniani Fifa limemtimua naibu katibu wake Markus Kattner kwa kujihusisha na ukiukwaji wa matumizi ya siri ya mamilioni ya dola. Kattnet raia wa Ujerumani mwenye…

KIBOKO ALIYETISHIA MAISHA YA WATU AULIWA KIJIJI CHA MAGUNGA, IRINGA

Mkuu wa Wilaya ya Iringa, Richard Kasesela aliongoza kikosi cha wananchi na maafisa wa wanyama pori kumsaka Kiboko aliyevamia mazao ya wananchi na kutishia maisha ya wananchi hao…