Your message has been sent, you will be contacted soon

Call Me Now!

Close

MANCHESTER UNITED YAMFUTA KAZI VAN GAAL

Mkufunzi wa kilabu ya Manchester United Louis van Gaal amefutwa kazi kama mkufunzi wa klabu ya Manchester United ,huku aliyekuwa mkufunzi wa Chelsea Jose Mourinho akitarajiwa kuchukua mahala…

IRAQ YATANGAZA VITA KUKOMBOA FALLUJAH

WAZIRI Mkuu wa Iraq Haider al-Abadi ametangaza operesheni kubwa ya kijeshi ya kuukomboa mji wa Fallujah kutoka kwa wapiganaji wa Islamic State. Kundi hilo liliuteka mji huo miaka miwili…

MUUNGANO WA VYAMA UPINZANI KENYA WATANGAZA KUENDELEA NA MAANDAMANO

MUUNGANO wa vyama vya upinzani nchini Kenya-CORD, umetangaza kuendelea na maandamano ya upinzani leo Jumatatu, kama ilivyopangwa ikiwa ni sehemu ya kampeni ya kutaka kutupiliwa mbali kwa tume ya…

TANGA: WAJASIRIAMALI WADOGO WAIOMBA OSHA KUTOA SEMINA YA MAFUNZO KILA MARA

WAJASIRIAMALI Wadogo Jijini Tanga wameiomba wakala wa afya na usalama pahala pa kazi (OSHA) kutoa semina ya mafuzo kila mara hapa Nchini.   Wakizungumza na EFM RADIO baada ya kumalizika semina…

DOKTA MAKONGORO MAHANGA ASIKITISHWA NA TAARIFA YA KUZUSHIWA KIFO

ALIYEKUWA Naibu Waziri wa Kazi, Ajira na Maendeleo ya Vijana,katika serikali ya awamu ya nne, Dokta  Makongoro Mahanga, amesema amesikitishwa na uvumi wa taarifa kuwa amefariki dunia. Akizungumza kwa njia…

WAJUMBE 5000 KUKUTANA COPENHAGEN KUHUDHURIA MKUTANO WA MASUALA YA WANAWAKE

ZAIDI  ya wajumbe 5,000 kutoka nchi 150 wamewasili mjini Copenhagen, Denmark kuhudhuria mkutano wa wiki nzima kuhusu masuala ya wanawake. Mkutano huo unoatajwa kuwa mkubwa zaidi kuwahi kuandaliwa…

NCHI ZENYE NGUVU KUKUTANA VIENNA KUIJADILI IS

NCHI zenye nguvu duniani zinakutana mjini Vienna, Austria leo kujadili kupanuka kwa shughhuli za kundi la wanamgambo wenye itikadi kali la Dola la Kiislamu IS nchini Libya.  …

TFDA YAKUTANA NA WADAU WA USALAMA WA CHAKULA

MAMLAKA ya chakula na dawa-TFDA  imekutana na adau mbalimbali wa usalama wa chakula na dawa kutoka nchi 12 za bara la Africa ikiwemo Tanzania kwa lengo la kubadilishana…

ANUSURIKA KIFO KWA KUDHANIWA NI JAMBAZI

KIJANA mmoja aliyefahamika kwa jina la Ramadhani Saidi mwenye umri wa miaka 20 mkazi wa kijiji cha Manyinga Turiani Wilaya ya Mvomero mkoani Morogoro amenusurika kifo baada ya…

JOHN KERRY AFANYA MAZUNGUZUMZO NA MFALME WA SAUDI ARABIA

WAZIRI wa Mambo ya nje wa Marekani John Kerry amefanya mazungumzo na Mfalme Salman wa Saudi Arabia kuhusu mizozo ya Syria, Libya na Yemen, kabla ya mikutano ya…