Your message has been sent, you will be contacted soon

Call Me Now!

Close

TENISI: GRIGOR DIMITROV AOMBA RADHI

Mcheza tenisi wa Bulgaria Grigor Dimitrov ameomba radhi baada ya kuonyesha utovu wa nidhamu pale alipoibamiza chini mara tatu fimbo yake ya kuchezea baada ya kukubali kichapo dhidi…

VIRUSI VYA ZIKA NI HATARI ZAIDI

WANASAYANSI nchini Brazil wamesema kuwa virusi vya ZIKA ambavyo vimehusishwa na kuzaliwa kwa watoto wakiwa na vichwa vidogo huenda ni hatari zaidi kuliko ilivyofikiriwa awali. Madaktari bingwa wamesema kuwa…

CIA YADAI KUIVURUGA AL QAEDA

MKURUGENZI wa CIA John Brennan amesema kwa miaka mitano iliyopita Marekani imeharibu kwa kiasi kikubwa kundi la Al Qaed baada ya kuuawa kwa kiongozi wake mkuu Osama bin Laden…

WAHUDUMU KATIKA VITENGO VYA KUMBUKUMBU WAMETAKIWA KUFANYA KAZI KWA TAHADHARI

WAZIRI wa Afya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Bi. Ummy Mwalimu ameziagiza hospitali mbalimbali nchini kuhakikisha zinachukua tahadhari za kuwalinda wafanyakazi wake kitengo cha kumbukumbu katika mazingira…

SIKU YA UHURU WA VYOMBO VYA HABARI KUADHIMISHWA MWANZA KESHO

TANZANIA leo inaungana na Mataifa mengine Duniani kuadhimisha siku ya Uhuru wa Vyombo vya Habari Duniani ambapo kitaifa maadhimisho hayo yanafanyika Jijini Mwanza Mei tatu. Katika maadhimisho ya Mwaka huu…

HUYU NDIO SHABIKI ATAKAEKUWA MILIONEA IWAPO LEICESTER CITY ITATWAA UBINGWA WA EP

Shabiki mmoja wa timu ya Leicester amesema kuwa ana uhakika klabu hiyo itashinda ubingwa wa ligi na kumfanya kupata zaidi ya pauni 20,000 ambayo ni sawa na milioni…

SAKHO APEWA MARUFUKU YA SIKU 30 NA UEFA

Beki wa Liverpool Mamadou Sakho amepewa marufuku ya siku 30 na shirikisho la soka barani Ulaya Uefa baada ya kuanzisha harakati za kumuadhibu baada ya kuaptikana ametumia dawa…

MMAREKANI AHUKUMIWA KIFUNGO NA KAZI NGUMU KOREA

RAIA wa Marekani amefungwa jela miaka 10 na kazi ngumu nchini Korea Kaskazini baada ya kupatikana na makosa ya kufanya ujasusi, shirika la habari la Uchina la Xinhua limeripoti….

LIBERIA: GWIJI LA SOKA, GEORGE WEAH ATANGAZA KUWANIA URAIS KWA MARA YA PILI

GWIJI wa Soka la Kimataifa wa  Liberia George Weah ametangaza rasmi kuwa atawania nafasi ya urais wa nchi hiyo kwa mara ya pili. Weah, ambaye aliwahi kuchezea klabu za…

TAMA YATAKA MITAALA YA UTOAJI WA MAFUNZO YA UKUNGA KUFANYIWA MAREKEBISHO

SERIKALI kupitia Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia Wazee na Watoto imetakiwa kurekebisha mtaala wa kutoa mafunzo ya ukunga ili kuifanya taaluma hiyo iweze kuheshimika na kunusuru maisha…