Your message has been sent, you will be contacted soon

Call Me Now!

Close

MKWASA ALIA NA WACHEZAJI

Dar es Salaam. Siku moja baada ya kukamilika kwa mzunguko wa kwanza wa Ligi Kuu Tanzania Bara kocha mkuu wa timu ya Taifa ‘Taifa Stars’ Charles Boniface Mkwasa…

TRUMP KUWAREJESHA WAHAMIAJI KWAO

Donald Trump asema kati ya wahamiaji haramu milioni mbili ama tatu watasafirishwa kutoka Marekani baada ya kuapishwa kuwa rais wa chi hiyo. Katika mahojiano na kituo cha televisheni…

DONALD TRUMP AFANYA UTEUZI WA AWALI

Rais mteule wa Marekani, Donald Trump, amemteua mwenyekiti wa kamati ya taifa ya chama cha Republican, Reince Priebus, kutumika kama mkuu wa wafanyakazi. Bwana Priebus ana uhusiano wa…

NOTI ZA RUPEE 500 NA 1000 KUFUTWA INDIA

Waziri mkuu wa India Narendra Modi ametangaza kuwa noti ya Rupee 500 na ile ya 1000 zitaondelewa katika mfumo wa fedha kwa siku moja. Hatua hiyo ya kushangaza…

SAMSUNG KWENYE TUHUMA ZA UFISADI WA KISIASA

Waendesha mashtaka nchini Korea kusini wamevamia ofisi za kampuni ya kielektoniki ya Samsung kama sehemu ya uchunguzi wa sakata ya kisiasa inayomuhusu rais Park Geun-hye. Waendesha mashtaka wanachunguza…

RAIS MAGUFULI ATUMA SALAMU ZA RAMBIRAMBI KWA SPIKA WA BUNGE KUFUATIA KIFO CHA SPIKA MSTAAFU, SAMWEL SITTA

RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa dokta John Pombe Magufuli amemtumia salamu za rambirambi Spika wa Bunge la Tanzania Mheshimiwa Job Ndugai kufuatia kifo cha Spika…

MADINI MAPYA YAGUNDULIWA MERERANI, TANZANIA

Madini mapya yamegunduliwa nchini Tanzania, katika eneo lenye madini ya kipekee la Manyara, na kupewa jina Merelaniite. Jina hilo limetokana na eneo ambalo madini hayo yalipatikana, Merelani (Mererani)…

MGOMO WAPELEKEA CHUO CHA MAKERERE KUFUNGWA

Wanafunzi wameanza kuondoka kutoka Chuo Kikuu cha Makerere baada ya Rais Yoweri Museveni kutangaza kifungwe mara moja Jumanne jioni. Rais alisema amechukua hatua hiyo “kuhakikisha usalama wa watu…

MFALME MTEULE WA THAILAND KUTHIBITISHWA DECEMBER

imetaarifiwa kwamba mfalme mteule mtarajiwa wa Thailand Vajiralongkorn atathibitishwa rasmi kama mfalme ajaye mnamo Desemba mosi. Mwana wa mfalme huyo ambaye pia ni mfalme mtarajiwa alitarajiwa kupakwa mafuta…

TAPELI ATUMIA SAUITI FEKI YA MAKONDA KUWALIZA WACHINA

Raia wa China wametapeliwa fedha taslimu Sh22.8 milioni wakidai kuwa sauti waliyoisikia kwenye simu ya kiganjani iliyotumiwa na tapeli ilifanana na ya Mkuu wa Mkoa wa Dar es…