Your message has been sent, you will be contacted soon

Call Me Now!

Close

TRUMP APETA MAJIMBO MATANO MUHIMU MAREKANI

NCHINI Marekani, tajiri Donald Trump amesema kuwa anajihisi sasa kama mgombea mteule wa urais wa chama cha Republican. Amesema hayo alipokuwa akiwahutubia wafuasi wake baada ya vyombo vya habari…

WATU KUFANYA KAZI SIKU MBILI KWA WIKI VENEZUELA

SERIKALI ya Venezuela imebuni mikakati ambayo itapelekea wafanyakazi wapatao milioni mbili wa serikali, kufanya kazi kwa siku mbili pekee kwa wiki katika kipindi cha majuma mawili. Hatua hii inalenga…

MARA: WANANCHI WATAKIWA KUSHIRIKI KUCHANGIA MAENDELEO

WANANCHI katika halmashauri zote  mkoani mara wametakiwa kushiriki katika kuchAngia maendeleo na kuachana na dhana zinazoendelezwa na baadhi ya  viongozi katika serikali wanaotoa kauli zakuwapinga wananchi kuchangia maendeleo ya…

KONGAMANO LA UWEKEZAJI KATI YA WATANZANIA NA WARUSI KUFANYIKA IJUMAA WIKI HII

KITUO cha Uwekezaji Tanzania –TIC, kwakushirikiana na Russian Export Club kimeandaa Kongamano la Uwekezaji kati ya Watanzania na Warusi litakalofanyika siku ya Ijumaa katika Ukumbi wa Kimataifa wa Julius…

AL SHABAAB ALIYEJIUNGA NA IS ANASWA SOMALIA

KAMANDA wa kundi la al-Shabaab aliyejiunga na kundi linalojiita Islamic State nchini Somalia amekamatwa na maafisa wa usalama nchini humo.   Hassan Mohamed Siad ambaye pia hujulikana kama Hassan…

ICC YAANZISHA UCHUNGUZI WA AWALI KUHUSU MAUAJI YA BURUNDI

MWENDESHA mashtaka mkuu wa Mahakama ya Kimataifa ya Uhalifu wa Kivita (ICC) amesema mahakama hiyo imeanzisha uchunguzi wa awali kuhusu mauaji ambayo yamekuwa yakitokea nchini Burundi.   Bi Fatou…

MTOTO WA MWAKA MMOJA APOTEZA MAISHA BAADA YA KUTUMBUKIA SHIMONI

MTOTO mwenye umri wa mwaka mmoja na miezi kumi na moja aliye tambulika kwa jina la  Waziri Kashinje amefariki dunia baada ya kutumbukia katika shimo la maji wakati akicheza…

RAIS WA MAGUFULI AFANYA UTEUZI WA MAKATIBU TAWALA WA MIKOA 26 YA TANZANIA BARA

RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dokta John Pombe Magufuli, leo amefanya uteuzi wa Makatibu Tawala wa Mikoa 26 ya Tanzania bara. Taarifa iliyotolewa leo na Katibu Mkuu…

WENGER AONYESHA HOFU EPL

Meneja wa klabu ya Arsenal Arsene Wenger amesema ameanza kuingiwa na wasiwasi kuhusu Ligi Kuu ya Uingereza msimu huu. Anasema wasiwasi zaidi unatokana na hatari ya klabu hiyo…

MAREKANI KUPELEKA MAJESHI SYRIA

MAAFISA wakuu nchini Marekani wanasema kuwa Rais Barack Obama atatuma wanajeshi wa ziada wapatao 250 nchini Syria, ili kuunga mkono jitihada zinazofanywa na vikosi vya ndani vya nchi hiyo,…