Your message has been sent, you will be contacted soon

Call Me Now!

Close

Ikulu Yakana Rais Kikwete Kuwaomba Ukawa

  Ikulu imesema Rais Jakaya Kikwete hakuwaomba wajumbe wa Bunge Maalumu la Katiba ambao ni wanachama wa Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa), warejee kuendelea na vikao vya…

Chicharito Apelekwa Real Madrid Kwa Mkopo

Huku dirisha la usajiri ulaya llikitarajiwa kufungwa usiku wa leo, tiimu ya Manchester United wamempeleka kwa mkopo Javie Hernandez “Chicharito kwenda timu ya Real Madrid  na wako mbioni…

Wafanyabiashara Kariakoo Wafunga Maduka Kukwepa Ukaguzi Wa Mashine Za EFD

Wafanyabiashara mbali mbali wenye maduka eneo la kariakoo wamefanya mgomo usio rasmi wa kufunga maduka yao ili kutokaguliwa na watendaji wa TRA ambao wanaendesha msako wa kuwakamata wale…

Christiano Ronaldo Mchezaji Bora Ulaya

Mchezaji wa kimataifa wa Portugal anayechezea timu ya Real Madrid Christiano Ronaldo Jana usiku alitwaa tuzo ya Mchezaji Bora wa Ulaya kwa mwaka 2014/2015. Ronaldo alitwaa tuzo hiyo…

Okwi Arudi Simba Asaini Mkataba Kama Mchezaji Huru Kulinda Kipaji Chake

Aliyekuwa msambuliaji wa Yanga Emmanuel Okwi jana jioni amesaini Simba SC kwa mkataba huru wa muda, baada ya Yanga SC kumpa barua ya kusitisha mkataba naye jana pamoja…

Mbowe Akabidhiwa Fomu Ataka Ushindani Na Anayeona Anaweza Kummudu

Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe jana alikabidhiwa fomu na makada wa chama hicho na kumtaka awanie tena kiti hicho, ombi ambalo alilikubali na…

Aliyekuwa Mkurugenzi TBS Ekelege Apatikana Na Hatia Afungwa Mwaka

Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, jana imemhukumu kifungo cha mwaka mmoja jela Mkurugenzi Mkuu wa zamani wa Shirika la Viwango Tanzania (TBS), Charles Ekelege na kumwamuru kurejesha Dola…

HALIMA MDEE AMWAGA MACHOZI BAADA YA KUKABIDHIWA FOMU YA KUGOMBEA UENYEKITI!

Vigogo wa Baraza la Wanawake la Chadema (Bawacha), watachuana katika kinyang’anyiro cha kuwania uenyekiti wa baraza hilo baada ya jana baadhi ya wanawake kujitokeza kumchukulia fomu Mbunge wa…

Serikali Yaridhishwa Na Maendelea Ya Mradi Wa Mabasi Yaendayo kasi

Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa(TAMISEMI), Bi. Hawa Ghasia ameridhishwa na tathimini ya mkutano wa mashauriaono wa awamu ya kwanza…

Arsenal Yaifunga 1-0 Besiktas Na Kufuzu UEFA Kwa Msimu Wa 17 Mfululizo

Timu Ya Arsenal ya nchini Uingereza jana usiku iliweza kufuzu kucheza mashindano ya kombe la UEFA kwa msimu wa 17  mfululizo kwa timu za Ulaya baada ya kuichapa…