Your message has been sent, you will be contacted soon

Call Me Now!

Close

Maulid Kitenge Ajiunga Rasmi EFM

Mtangazaji mahiri wa michezo wa siku nyingi Maulidi Baraka Kitenge amejiunga na kituo cha radio kiitwacho EFM 93.7 kilichopo Kawe jijini Dar Es salaam. Kutokana na tafiti ya…

Habari Katika Picha; Tamasha mwembe yanga

    Hi ni baadhi ya Picha ya Matukio katika Tamasha Lilifanyika mwembe Yanga

Fifa nayo yaishukia Gor Mahia

NI taabu tupu kwenye ngome ya Gor Mahia kwani baada ya kuandamwa na Mamlaka ya Ukusanyaji Ushuru (KRA) kwa kutokulipa ushuru wa Sh118 milioni, sasa iko hatarini kufungiwa…

Sijatoa wimbo wowote mpya “@diamondplatnumz”

Moja ya nyimbo zangu ambazo ziko store hazija toka nimeikuta mtandaoni na sijui imefikaje, tena ikiwa kwenye mfumo wa Voicenote, yaani haina quality kabisaa… Tafadhari, kwa yoyote atakaeipata…

93.7 E-FM Yaanza kurusha matangazo rasmi!!!

93.7 E-FM radio Yaanza Rasmi Kurusha Matangazo Yake Toka Station Zake Zilizopo Kwenye Jengo La K-Net Kawe Dar es Salaam.

Mh. Lowassa akagua maandalizi ya Sokoine day Monduli Juu

Waziri mkuu mstaafu na mbunge wa Monduli Mh Edward Lowassa akipata maelezo kutoka kwa watoto wa marehemu Edward Sokoine, Namelok Sokoine(mb) na Joseph Sokoine ambaye ni afisa katika…

Msanii LADY JAY DEE (@jidejaydee) ameula katika michuano ya Kombe la Dunia 2014

Msanii Judith Wambura ‘Lady Jaydee’ ameula katika michuano ya Kombe la Dunia 2014 baada ya kupata nafasi ya kuandaa wimbo kwa a jili ya michuano hiyo mikubwa zaidi…

VODACOM YATEMBELEA VYOMBO VYA HABARI KUIMARISHA UHUSIANO

Waendeshaji wa kipindi cha Morning Choice kinachorushwa na kituo cha Radio cha Choice FM Baby Kabai (kulia) na Evans Bukuku wakionesha manjonjo kwa Mkuu wa Masoko wa Vodacom…

Matumaini Katiba Mpya arijojo

Ikulu imeeleza kuwa imeshindwa kutimiza ahadi yake kwa taifa ya kulipatia Katiba Mpya ifikapo Aprili 26, 2014. Katibu Mkuu Kiongozi (KMK), Balozi Ombeni Sefue alilieleza gazeti hili kuwa…

Mh. Edward Lowassa amuaga mkuu mkoa wa Mara

Waziri Mkuu mstaafu an mbunge wa Monduli Mh Edward Lowassa akiwasili katika viwanja vya Mwalimu Nyerere kumuaga mwili wa Mkuu wa Mkoa wa Mara marehemu John G Tuppa.Pembeni…