Your message has been sent, you will be contacted soon

Call Me Now!

Close

KENYA YAITAKA ICC KUIKABIDHI FAILI ZA WASHUKIWA 3

KENYA sasa inataka faili za kesi zinazowakabili wakenya watatu wanaotuhumiwa kuingilia ushahidi wa mashahidi wa ICC kushtakiwa nchini humo. Mwanasheria mkuu Profesa Githu Muigai amesema kuwa Kenya ina…

KANALI WA JESHI AUAWA BURUNDI

KANALI mmoja wa Jeshi amepigwa risasi na watu wasiojulikana katika mji mkuu wa Burundi ,Bujumbura,kulingana na vyombo vya habari vya kundi la SOS nchini humo. Kanali Emmanuel Buzubona…

UCHAGUZI MKUU 2015: WADAU WAIPONGEZA NEC

WADAU mbalimbali kutoka vyama vya Siasa vilivyoshiriki katika Uchaguzi Mkuu uliofanyika Octoba 25 mwaka jana wameipongeza Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) kwa kuendesha zoezi hilo kwa Uwazi,…

MKUU WA WILAYA YA KINONDONI AAPISHWA RASMI LEO

MKUU wa mkoa wa Dar es salaamu mheshimiwa PAUL MAKONDA leo amemuapisha rasmi mteule mkuu wa wilaya ya kinondoni ALY SALUM HAPI ambapo amemtaka kuhakikisha anakuwa mstari wa…

YANGA, TP MAZEMBE NJE MICHUANO YA KLABU BINGWA AFRIKA

Wakicheza Ugenini huko Nchini Misri, Yanga wamefungwa 2-1 na Al Ahly na kuondolewa katika michuano ya klabu bingwa Africa. Mabingwa watetezi Tp Mazembe wakaondolewa katika michuano hiyo baada…

WAKIMBIZI 500 WAHOFIWA KUFA KWENYE BAHARI YA MEDITERANIA

SHIRIKA la Umoja wa Mataifa linaloshughulkia wakimbizi limehofu kuwa huenda wakimbizi 500 wamefariki kwenye bahari ya Mediterania walipokuwa njiani kuelekea Italia. Hata hivyo msemaji wa shirika hilo amewaambia…

2 WACHOMWA MOTO ZAMBIA KWENYE VURUGU

POLISI nchini Zambia wamesema watu wawili wamechomwa moto mjini Lusaka katika vurugu ya ubaguzi wa wenyeji dhidi ya wageni. Watu Zaidi ya 250 wamekamatwa baada ya maduka mengi…

MHANDISI MANISPAA YA ILALA NA WASAIDIZI WAKE WATUMBULIWA

MANISPAA ya Ilala Jijini Dar es salaam imemvua madaraka mkuu wa Idara ya ujenzi mhandisi Japhery Bwigane na wasaidizi wake wawili kwa tuhuma za kusimamia ujenzi wa barabara…

MUHIMBILI YAFANYA UPASUAJI WA PUA, MASIKIO LEO

MADAKTARI Bingwa wa Upasuaji kutoka Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH) kwa kushirikiana na timu ya Madaktari wanne kutoka nchini Hispania wameendesha zoezi la upasuaji wa masikio, pua, pamoja na…

EPL KUTIMUA VUMBI WEEKEND HII

Ligi kuu ya England inatarajiwa kuendelea tena wikiendi hii kwa michezo kadhaa, Jumamosi Norwich itaikaribisha Sunderland, Everton wao watakuwa wenyeji wa Southampton, Man Utd watakuwa wenyeji wa Aston…