Your message has been sent, you will be contacted soon

Call Me Now!

Close

RAIS MAGULI: KENYA NI MSHIRIKA WETU MKUBWA AFRIKA

Rais wa Tanzania John Pombe Magufuli amesema kuwa Kenya ndio mshirika nambari moja wa Tanzania katika uwekezaji na biashara barani Afrika. Akizungumza katika ikulu ya rais jijini Nairobi…

ITALIA: MAELFU YA WAKAAZI WALALA NJE KUFUATIA KIMBUNGA KIKALI

Maelfu ya watu katikati mwa Italia wamelala katika magari na mahema ikiwa ni kama makazi ya muda mfupi baada ya kimbunga kikali kupiga katika eneo hilo tokea kile…

GARETH BALE AMWAGA WINO KUENDELEA KUKIPIGA REAL MADRID

Real Madrid imemsainisha mkataba mpya winga wake Gareth Bale na kumfanya aendelee kudumu klabuni hapo mpaka 2022. Bale mchezaji wa zamani wa Southampton alijiunga na klabu hiyo akitokea…

AHEL YAILIZA NSSF BIL. 270

Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF) limekiri kuingia mkataba wa ujenzi wa mji wa kisasa wa Dege Eco Village, Kigamboni na kampuni ya Azimio Housing Estates…

WATUMISHI 10 WATIMULIWA MVOMERO

Watumishi 10 wa Halmashauri ya Wilaya ya Mvomero mkoani Morogoro, wamefukuzwa kazi kutokana na makosa mbalimbali yakiwamo ya ubadhirifu wa fedha na utoro kazini. Mkurugenzi wa halmashauri hiyo,…

MAN UTD YAINYOA MAN CITY

Manchester United walifika hatua ya robo fainali katika Kombe la EFL baada ya kuwalaza mabingwa watetezi Manchester City kwenye debi iliyochezewa uwanja wa Old Trafford. Juan Mata alifunga…

KOREA KASKAZINI “HAIKO TAYARI” KUZIACHA SILAHA ZA NYUKLIA

Sera ya Marekani kuishawishi Korea kaskazini kuachana na mpango wake wa kutengeneza silaha za nyuklia huenda ‘haina ufanisi’ , mkurugenzi wa shirika la kitaifa la ujasusi Marekani amesema….

MAUZO YA KAMPUNI YA APPLE YASHUKA

Kampuni ya Apple imeripoti kushuka kwa mapato yake ya mwaka kwa mara ya kwanza tangu mwaka 2001. Matokeo ya robo ya mwisho ya mwaka wa fedha nchini Marekani…

UTAFITI: BETRI ZINAZOTUMIWA KATIKA SIMU ZINA SUMU

Zaidi ya gesi 100 zinazoweza kusababisha kifo hutolewa na betri zinazopatikana miongoni mwa mabilioni ya vifaa vinavyotumiwa na raia wengi duniani kama vile simu aina ya smartphone na…

PAPA FRANCIS AINGILIA KATI MZOZO VENEZUELA

Kiongozi wa kanisa Katoliki duniani Papa Francis amechukua hatua isiyotarajiwa na kuingilia kati kujaribu kutatua mzozo wa kisiasa nchini Venezuela. Taifa hilo pia linakabiliwa na matatizo ya kiuchumi….