Your message has been sent, you will be contacted soon

Call Me Now!

Close

MSHUKIWA WA BRUSSELS ALIUNDA MABOMU YA PARIS

MAAFISA wa Ufaransa na Ubelgiji wanasema mmoja wa walipuaji wa kujitoa mhanga waliotekeleza mashambulio ya Brussels alikuwa mtaalamu wa kutengeneza mabomu. Wamesema mshukiwa huyo alihusika katika kuunda mabomu…

MIONGOZO RAHISI YA USIMAMIZI WA MISITU YAZINDULIWA

MRADI wa MAMA MISITU kwa kushirikiana na Serikali na wadau mbalimbali wamezindua miongozo rahisi ya usimamizi shirikishi wa misitu kwa jamii, vijiji na kwa pamoja. Akizungumza na waandishi…

SHEIN AAPISHWA ZANZIBAR LEO

RAIS Mteule wa Zanzibar, Dokta Ali Mohammed Shein anaapishwa leo kwenye Uwanja wa Aman mjini Zanzibar. Kuapishwa kwa Dk Shein kunamfanya apate nafasi nyingine ya kuongoza Zanzibar kwa…

TED CRUZ AMBWAGA DONALD TRUMP KWENYE JIMBO LA UTAH

LICHA ya kuongoza kwa mbali kwenye kinyang’anyiro cha kuwania tiketi ya kuteuliwa kuwa mgombea urais wa Marekani kwa chama cha Republican, bilionea Donald Trump ameangushwa na hasimu wake…

KONGO: DENIS SASSOU AATANGAZWA KUWA MSHINDI WA UCHAGUZI

KIONGOZI wa muda mrefu nchini Kongo, Denis Sassou Nguesso, ametangazwa na Tume ya Uchaguzi nchini humo kushinda tena urais, na hivyo kumpa nafasi ya kuendeleza utawala wake wa…

WANANCHI NA MADEREVA WA DALADALA WAMEIOMBA SERIKALI KUBORESHA MIUNDOMBINU KATIKA VITUO VYA MAWASILIANO NA MAKUMBUSHO

WANANCHI na madereva katika vituo vya daladala vya Makumbusho na Mawasiliano, wameiomba serikali kutengeneza barabara ziingiazo katika vituo hivyo kwani ni mbovu na zinasababisha uharibifu wa magari. Wakizungumza…

JAMII IMETAKIWA KUEPUKA UHARIBIFU WA MAZINGIRA

KATIKA kupambana na athari za mabadiliko ya Tabia nchi ikiwemo ongezeko kubwa la Joto Duniani, Mamlaka ya hali ya hewa kwa kushirikiana na Wakala wa misitu Nchini, wameitaka…

FBI HUENDA WAKAFUNGUA SIMU YA MUUAJI

IDARA ya Haki ya Marekani imesema huenda shirika la upelelezi la FBI limegundua njia ya kufungua simu ya mkononi ya muuaji Syed Rizwan Farook aliyewapiga risasi watu eneo…

PROFESA MUHONGO: MILANGO YA UWEKEZAJI IKO WAZI KWA MATAIFA YOTE KUWEKEZA TANZANIA

WAZIRI wa Nishati na Madini Profesa Sospeter Muhongo amesema kuwa milango ya uwekezaji iko wazi kwa Mataifa yote duniani yenye nia thabiti ya kufanya hivyo nchini Tanzania.  …

WAZIRI MKUU AAGIZA CAG KUKAGUA MAMLAKA YA BANDARI TPA

WAZIRI MKUU wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania mheshimiwa Kassim Majaliwa amemuagiza Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Serikali –CAG-aende Mamlaka ya Bandari Tanzania (TPA) ili akakague taarifa za…