Your message has been sent, you will be contacted soon

Call Me Now!

Close

MATEKA WASEMA WALIKULA PANYA SOMALIA

Kundi la mabaharia ambao waliachiliwa huru Jumamosi baada ya kuzuiliwa na maharamia kwa miaka mitano nchini Somalia walikula hata panya ili waishi, mmoja wao ameambia BBC. Arnel Balbero,…

MCHAKATO WA UHAMASISHAJI WA KATIBA MPYA KUANZA IVORY COAST

Waungaji mkono mswada mpya wa katiba wenye utata, wamezindua kampeini ya kuwapata wapigaji kura wengi zaidi, ili kubioresha katika kura ya maoni, itakayopigwa mnamo Octoba 30 mwaka huu,…

WAZIRI MWIJAGE AKALIWA KOONI

Dodoma. Vuta nikuvute iliibuka jana kwenye Kamati ya Bunge ya Viwanda, Biashara na Mazingira baada ya wajumbe wake kuikataa taarifa ya Waziri wa Viwanda, Biashara na Uwekezaji, Charles…

BURUNDI YAJIONDOA KATIKA MAHAKAMA YA ICC

Taifa la Burundi hatimaye limekuwa taifa la kwanza kujiondoa rasmi katika mkataba wa Roma unaosimamia mahakama ya kimataifa kuhusu uhalifu wa kivita ICC. Hatua hiyo inajiri baada ya…

SERIKALI INATUMIA SH. 900 BILIONI KWA MWEZI KULIPA MADENI

Dodoma. Wakati wananchi wakilalamikia fedha kutoweka mifukoni, Makamu wa Rais Samia Suluhu Hassan amesema Serikali inatumia Sh900 bilioni kati ya Sh1.33 trilioni inazokusanya kila mwezi, kulipa madeni. Alisema…

RIEK MACHAR ASEMA YUKO MZIMA WA AFYA, AFRIKA KUSINI

Kiongozi wa waasi nchini Sudan Kusini na Makamu wa Rais aliyetimuliwa Riek Machar aliyesafiri na kuingia Jamuhuri ya Kidemokrasia ya Congo yupo Afrika Kusini na kuapa kurejea nyumbani…

MTANZANIA ALIYEGUNDUA UMUHIMU WA KUFUGA FUNZA NA MENDE

Mtanzania Riula Daniel amebuni mradi wa kutengeneza chakula cha mifugo kwa kutumia mende na funza badala ya kutumia soya na dagaa bidhaa ambazo zimekuwa zikipanda katika soko kufuatia…

WATANZANIA HATARINI KUFA ZAIDI KWA MALARIA

Dar es Salaam. Taasisi ya Taifa ya Utafiti wa Magonjwa ya Binadamu (Nimr), imesema kutokana na mbu wa malaria kujenga usugu wa dawa yaPyrethroids  kwa baadhi ya maeneo…

MOURINHO KUCHUNGUZWA NA FA

Matamshi ya Jose Mourinho kuhusu uteuzi wa mwamuzi anaeshabikia Manchester United Anthony Taylor kwa mchezo wa ligi kuu England kati ya Manchester United dhidi ya Liverpool utakaochezwa leo…

MASWALI KABLA YA KUMUONA DAKTARI YAWAKERA WAGONJWA

Wapokezi wa wagonjwa hospitalini wanao wahoji wagonjwa kuhusu ni kwanini wanahitaji kumuona daktari huenda yanawasababisha baadhi kutowatembelea madaktari wao , utaifiti umedhihirisha. Karibu watu wazima 2000 waliohojiwa na…