Your message has been sent, you will be contacted soon

Call Me Now!

Close

JAMII IMEOMBWA KUSAIDIA WATU WENYE ULEMAVU KUHAKIKISHA WANAPATA ELIMU

SERIKALI imeombwa kuisaidia jamii ya watu wenye ulemavu wa aina mbalimbali kuhakikisha wanapata elimu kwani hadi sasa ni asilimia 10 pekee ndiyo wanaopata elimu.   Akizungumza na kituo…

TCU YAFUTA VYUO VIKUU VISHIRIKI VIWILI

TUME  ya Vyuo Vikuu Tanzania TCU leo imevifuta  vyuo vikuu vishiriki viwili vya Sayansi za Kilimo na Teknolojia,  pamoja  na Teknolojia ya Habari   vya  Chuo cha Mtakatifu Yosefu…

NECTA YATANGAZA MATOKEO YA KIDATO CHA NNE

BARAZA la mitiani Tanzania NECTA limetangaza Matokeo ya kidato cha nne mwaka 2015 , ambapo  ufaulu  unaelezwa kushuka  kwa asilimia 1.85  kutoka  asilimia 69.75  mwaka 2014  hadi asilimia 67.91 kwa  mwaka  2015.  …

ALIYEKUWA KATIBU MKUU WA UMOJA WA MATAIFA BOUTROS-GHALI AFARIKI DUNIA

UMOJA wa Mataifa umetangaza kuwa aliyekuwa Katibu mkuu wa Umoja wa Mataifa, Boutros Boutros-Ghali amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 93. Mmisri huyo, aliyekuwa katibu mkuu wa…

KAMPUNI YA APPLE YATANGAZA KUPINGA AMRI YA MAHAKAMA

KAMPUNI ya Apple imesema itapinga amri ya mahakama ya kuwasaidia wachunguzi wa shirika la kijasusi nchini Marekani FBI kuchukua habari katika simu ya muuaji wa watu 14 katika…

MKURUGENZI WA TAASISI YA ELIMU YA WATU WAZIMA AOMBWA KUTUMBUA MAJIPU

WIZARA ya Elimu Sayansi Teknolojia na Ufundi imemtaka Mkurugenzi wa Taasisi ya Elimu ya Watu wazima kuwasimamisha kazi Wakufunzi wakazi wa tatu, kwa kukiuka utaratibu wa kuchagua wanafunzi…

OBAMA: TRUMP HATAKUWA RAIS

RAIS Barack Obama wa Marekani amesema  anaamini mgombea urais wa Chama cha Republican Donald Trump hatakuwa rais wa Marekani. Bwana Trump, Mfanyabiashara tajiri kutoka New York, anaongoza kwenye…

KENYA KUJENGA JELA YA WAHALIFU WA MAKOSA YA UGAIDI

RAIS wa Kenya Uhuru Kenyatta amesema Nchi hiyo itajenga jela mpya ya kuwafunga wafungwa wenye makossa ya itikadi kali. Kiongozi huyo amesema hatua hiyo itazuia wafungwa hao kutoeneza…

SERIKALI YAOMBWA KUFANYA UKAGUZI WA MAENEO YALIYOTENGWA KWA AJILI YA SHUGHULI ZA KIJAMII

SERIKALI imeombwa kufuatilia na kukagua maeneo yaliyotolewa kwa ajili ya shughuli mbalimbali za kijamii ikiwemo shule, hospitali na zahanati ili kuwaletea maendeleo wananchi. Rai hiyo imetolewa Jijini Dar…

MWANZA: WANANCHI WATAHADHARISHWA JUU YA WEZI WANAOTUMIA BODABODA

MWENYEKITI wa chama cha waendesha pikipiki Mkoa wa Mwanza, Makoye Kayanda, amewatahadharisha wakazi wa jiji hilo kuwa makini wawapo barabarani ili kuepukana na vitendo vya ukwapuaji  mikoba na…