Your message has been sent, you will be contacted soon

Call Me Now!

Close

BENTEKE AFUNGA BAO LA KASI ZAIDI

Mshambuliaji wa Ubelgiji Christian Benteke alifunga bao la kasi zaidi katika mechi za kufuzu kwa Kombe la Dunia, baada ya kufunga bao sekunde 8.1 dhidi ya Gibraltar. Mchezaji…

SAMSUNG “YASITISHA UTENGENEZAJI WA GALAXY NOTE 7”

Kampuni kubwa ya kutengeza simu aina ya smartphone Samsung,imeroptiwa kusitisha utengezaji wa simu aina ya Galaxy Note 7 kufuatia madai kwamba simu mpya zilizotengezwa kuchyukua mahala pa zile…

CHINA YASHINDA TUZO YA KUTAMBUA MVINYO DUNIANI

Kundi moja la wataalam nchini China limeshinda tuzo la shindano la kuonja mvinyo nchini Ufaransa. Watalaam hao walitambua mivinyo waliopewa huku wakiwa wamefunikwa uso,wakibainisha asili, aina ya zabibu…

SAMSUNG NOTE 7 YASHIKA MOTO KWENYE NDEGE

Simu ya kampuni ya Samsung aina ya Galaxy Note 7, ambayo ilikuwa imethibitishwa na kampuni hiyo kuwa ilikuwa salama, imeshika moto kwenye ndege nchini Marekani. Simu hiyo inadaiwa…

ASWEKWA LUPANGO KWA KUMNYONGA MKEWE

Mkazi wa Kijiji cha Igate, Kata ya Nzera wilayani Geita anashikiliwa na polisi kwa tuhuma za kumnyonga mkewe Dotto Frederick (25) baada ya kuibuka ugomvi kati yao. Kamanda…

YANGA YATOA MUHTASARI WA MKATABA

1.    Bodi ya Wadhamini wa Young Africans Sports Club, (ambayo hapa inajulikana kama Mmiliki”) imeingia tarehe 3 September, 2016 Mkataba wa kukodishwa na kampuni ijulikanayo Yanga Yetu Limited…

BODI YA WADHAMINI CUF KUMFUNGULIA KESI LIPUMBA NA MSAJILI

Bodi ya wadhamini CUF imefungua maombi ya kufungua kesi katika Mahakama Kuu dhidi ya Msajili wa Vyama vya Siasa,Jaji Francis Mutungi, Prof Ibrahim Lipumba na wanachama 12 waliosimamishwa…

TYSON FURY AKIRI KUTUMIA COCAINE

Bingwa wa ndondi katika uzani mzito duniani Tyson Fury amesema amekuwa akitumia Cocaine ili kumsaidia kukubiliana na matatizo ya kiakili. Bondia huyo wa Uingereza amesema kuwa amekuwa akiugua…

NIGERIA KUUZA NDEGE ZA RAIS KUPUNGUZA UBADHIRIFU

Nigeria imetangaza kwamba itauza ndege mbili zinazotumiwa na rais wa nchi hiyo kama njia ya kupunguza matumizi mabaya ya pesa za umma. Msemaji wa Rais Muhammadu Buhari, Garba…

DUTERTE ASEMA OBAMA ANAWEZA ‘KWEND JEHANAMU’

Rais wa Ufilipino Rodrigo Duterte amerejelea tena shutuma zake dhidi ya Rais Obama na viongozi wengine wa nchi za Magharibi wanaopinga mpango wake wa kupambana na walanguzi wa…