Your message has been sent, you will be contacted soon

Call Me Now!

Close

WAZIRI SIMBACHAWENE AAGIZA KUSIMAMISHWA KAZI KWA KAIMU AFISA BIASHARA WA MANISPAA YA ILALA

WAZIRI wa Nchi Ofisi ya Rais TAMISEMI Mheshimiwa, George Simbachawene amemuagiza Mkurugenzi wa Manispaa ya Ilala kumsimamisha kazi mara moja Kaimu Afisa Biashara wa Manispaa ya Ilala  Dennis…

DK. SHEIN: TOFAUTI ZA KISIASA ZISIVURUGE AMANI

RAIS wa  Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dokta  Ali Mohamed Shein  ametaka tofauti za kisiasa zilizopo Visiwani humo zisitumike kuvuruga amani na utulivu ambayo ndiyo siri…

IVORY COAST: OUATTARA AKUBALI KUJIUZULU KWA WAZIRI MKUU

RAIS Alassane Ouattara wa Ivory Coast amekubali kujiuzulu kwa Waziri Mkuu na Serikali yake.   Akituma ujumbe kupitia mtandao wa Twitter, Outtarra amesema waziri mkuu aliwasilisha hati ya…

UN YAANZA MIKAKATI KUIWEKEA VIKWAZO KOREA KASKAZINI

SIKU moja baada ya Korea Kaskazini kufanya jaribio la bomu la haidrojeni, Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa limekubaliana kuanza mikakati ya kuiwekea vikwazo. Hata hivyo baadhi…

BODI YA UTALII IMETAKIWA KUTUMIA VYOMBO VYA HABARI VYA KIMATAIFA KUITANGZA TANZANIA

WAZIRI wa Maliasili na Utalii Profesa Jumanne Maghembe ameitaka Bodi ya Utalii Tanzania- TTB, kuendelea kutumia vyombo vya habari vya Kimataifa kama vile CNN na BBC  kuitangaza Tanzania…

IRINGA: VIONGOZI WA VYAMA VYA USHIRIKA VYA ZAO LA TUMBAKU WASIMAMISHWA

WAZIRI wa kilimo,mifugo na uvuvi mheshimiwa Mwigulu Nchemba amewasimamisha viongozi wa vyama vya ushirika vya zao la tumbaku mkoani Iringa. Akizungumza kwenye mkutano uliofanyika katika ukumbi wa siasa…

NIGERIA: MHUBIRI WA KIISLAM AHUKUMIWA KIFO

MAHAKAMA moja ya Kiislamu nchini Nigeria imemhukumu kifo mhubiri anayetuhumiwa kukufuru kwa kumtukana Mtume  Muhammad.   Abdul Inyass amehukumiwa katika kikao cha faragha cha mahakama katika mji wa…

KOREA KASKAZINI YATHIBITISHA KUFANYA JARIBIO LA BOMU LA HAIDROJENI

KOREA KASKAZINI imesema kwa mara ya kwanza imefanikiwa kufanya majaribio ya bomu la nguvu ya maji, maarufu kama bomu la haidrojeni.   Tangazo hili limetolewa na runinga ya…

TRA YAKUSANYA TRILIONI 1.4 KATIKA KIPINDI CHA MWEZI DESEMBA 2015

JUMLA ya shilingi trilioni 1.4 zimekusanywa na Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) katika kipindi cha mwezi Desemba mwaka uliopita wa 2015.   Kiasi hicho ni sawa na ongezeko…

RAIS MAGUFULI ATUMA SALAMU ZA RAMBIRAMBI KUFUATIA KIFO CHA INSPECTA GERALD RYOBA

RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dokta. John Pombe Magufuli amemtumia salamu za rambirambi Mkuu wa Jeshi la Polisi hapa Nchini IGP Ernest Mangu kufuatia kifo cha…