Your message has been sent, you will be contacted soon

Call Me Now!

Close

YCEEE WA NIGERIA KUTUA BONGO JUMAPILI HII

Mkali wa Nigeria, Ludemilade Martin Alejo maarufu kama YCEE, anatarajiwa kutua bongo, Jumapili hii. Mkali huyu anatarajiwa kuja Tanzania kwa dhumuni la kuutangaza zaidi muziki wake akiwa na…

RIO2016: WANARIADHA WA KENYA WAISHI KWENYE MAZINGIRA MAGUMU BAADA YA OLIMPIKI

Wanariadha wa Kenya wamekuwa wakiishi kwenye makazi ambayo hayawafurahishi timu hiyo baada ya kumalizika kwa Michezo ya Olimpiki mjini Rio, mmoja wa wanariadha hao amelalamika. Mkimbiaji wa mbio…

RAIS DKT JOHN POMBE MAGUFULI AMUAPISHA MKURUGENZI MKUU MPYA WA IDARA YA USALAMA WA TAIFA

PICHA: Amiri Jeshi Mkuu Rais Dkt.John Pombe magufuli akimsikiliza Mkurugenzi Mkuu wa Idara ya Usalama wa Taifa Dkt Modestus Francis Kapilimba akila kiapo cha maadili ya viongozi wa…

MIJADALA YA KUNDI LA WHATSAPP YAWATIA MBARONI

Polisi nchini Burundi wamewatia nguvuni wajumbe wanane wa mtandao wa kijamii wa WhatApp . Kulingana na msemaji wa wizara ya usalama wa umma nchini humo Pierre Nkurikiye watu…

UDANGANYIFU WAMPOTEZEA MADILI RYAN LOCHTE

Muogeleaji wa Marekani Ryan Lochte amepoteza mikataba yake yote minne ya udhamini baada ya wenzake watatu kudanganya kuwa waliibiwa na wezi waliokuwa na silaha katika michuano ya Olimpiki…

KOFIA YA MZEE AKILIMALI YAZUA KIZAAZAA

Baada ya sekeseke la aliyekuwa Katibu wa Baraza la Wazee la Yanga Mzee Yahya Akilimali na wapenzi na mashabiki wa klabu hiyo. Limechukua sura mpya baada ya kuibiwa…

Watoto waingizwa kwenye jeshi Sudan Kusini

Serikali ya Sudan Kusini imewaajiri watoto wavulana kama wanajeshi wakati huu inapojiandaa kwa mzozo mpya, kwa mujibu wa shirika la Associated Press. Mwanasiasa mmoja mwenye ushawishi anaripotiwa kuongoza…

WAKUU WA SHULE ZA MSINGI 68 KUVULIWA VYEO VYAO JIJINI DAR ES SALAAM

WALIMU wakuu wa shule 68 wa shule za Msingi wanatakiwa kuvuliwa na kunyang’anywa vyeo vyao kwa kosa la udananyifu wa takwimu za wanafunzi hewa tangu elimu itangazwe kuwa…

MWANA WA EL CHAPO GUZMAN ATEKWA NYARA

Mwana wa mlanguzi mkuu wa mihadarati nchini Mexico Joaquin El Chapo Guzman ni miongoni mwa washukiwa wa uhalifu waliotekwa nyara katika mji uliopo pwani ya Pacific siku ya…

WAFUNGWA 15 WA GUANTANAMO WAPELEKWA UAE

Makao makuu ya kijeshi ya Marekani, The Pentagon, yametangaza kuwa watu 15 waliokuwa wakizuiliwa katika gereza maalumu la Guantanamo Bay, nchini Cuba wamehamishiwa hadi Emarati. Ni kundi kubwa…