RAIS MAGUFULI ATENGUA UTEUZI WA MWENYEKITI WA BODI YA UDHAMINI YA MFUKO WA PENSHENI WA LAPF:

RAIS MAGUFULI ATENGUA UTEUZI WA MWENYEKITI WA BODI YA UDHAMINI YA MFUKO WA PENSHENI WA LAPF:

Like
191
0
Wednesday, 21 September 2016
Slider

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania John Pombe Magufuli, leo tarehe 21 Septemba, 2016 ametengua uteuzi wa Mwenyekiti wa Bodi ya Udhamini ya Mfuko wa Pensheni wa LAPF Profesa Hasa Mlawa.

Taarifa iliyotolewa na Ikulu leo inasema pamoja kutengua uteuzi wa Profesa Mlawa, Rais Magufuli amevunja Bodi ya Udhamini ya Mfuko huo.

Uteuzi wa Mwenyekiti mpya wa Bodi ya Udhamini ya LAPF utafanywa baadaye.

Comments are closed.