Your message has been sent, you will be contacted soon

Call Me Now!

Close
Home » Global News » SETELITE YA JUNO YAKARIBIA SAYARI YA JUPITA

SETELITE YA JUNO YAKARIBIA SAYARI YA JUPITA

Ile Setelite ya Juno iliiyosafiri kwa miaka mitano kwenda katika sayari ya Jupita sasa inakaribia kufika kwenye sayari hiyo.Wanasayansi wanakadiria setelite hiyo itafika muda mfupi ujao majira ya saa 12:15 asubuhi hii kwa saa za afrika mashariki.

Setilite hiyo kama itafanikiwa kufika ilipokusudiwa kwenye sayari hiyo inatarajiwa kudumu kwa mwaka mmoja na nusu kuchunguza sayari jinsi ilivyoumbwa.

Comments

comments