Category: Komaa Concert

  • Komaa Concert 2018 Dar es Salaam, Tanganyika Peckers

    Komaa Concert 2018 Dar es Salaam, Tanganyika Peckers

    Leo tarehe 18/08/2018 ndio siku ambayo wana Dar es Salaam walikuwa wanaisubiri kwa hamu kubwa kushuhudia burudani iliyopewa nguvu na Biko

    Hapa nakuwekea picha za matukio yote yanayotokea eneo hili la Tanganyika Peckers

    Heshima ya ufalme wa jukwaa kutoka kwa @mfalmeninjaofficial imempa kibali cha kumuinua @rdjautorun #KomaaConcert2018Dsm Tanganyika Packers #HatupoiHatuboi Powered By @bikotanzania & @bullcondoms

  • Picha: Komaaa Concert Mwanza 2018

    Picha: Komaaa Concert Mwanza 2018

    Picha zote za matukio yote ya Komaaconcert2018 Mwanza yapo hapa

    Bell9 akifanya yake kwenye stage

    Baadhii ya Wasanii watakao perfom kwenye Stage ya Komaaconcert2018 leo uwanja wa CCM Kirumba wakiwa kwenye picha ya Pamoja amber Lulu , Young D Jay Mo ,Aslay Shilole , Belle9 , Mansuli
    Wakazi wa Mwanza  waliofika kwenye kiwanja cha Burudani, CCM Kirumba wakishuhudia burudani ya kumtafuta mwenye WOWO
    Sehemu Wakazi wa 91.3 Mwanza waliofika kwenye uwanja wa Burudani siku ya leo CCM Kirumba Komaaconcert2018 kwa nguvu ya buku ya Bikotu
    Mshindi wa bodaboda kutoka Biko akikabidhiwa bodaboda yake ndani ya Uwanja wa CCM Kirumba #komaaconcert 2018
    Bodaboda kutoka Biko ikisubiri mshindi ambaye atapatikana kwa kuchezesha droo
    RDJ Spur(Kushoto) akiwa na RDJ Autorun wakiwa kwenye Kiwanda cha Burudani kuhakikisha Muziki haukauki kwa Wakazi wa 91.3 Mwanza
    Asistance Adminstrator wa Efm Redio na TV E, Sada Nassoro, akiwa kwenye RedCarpert ya #KomaaConcert2018Mwanza
    Mama Biko (Kajala) akiwa kwenye redcarpet ya Komaaconcert2018 Mwanza
    Wawakilishi kutoka Biko wakiwa kwenye Red

    Msanii chipukizi kutoka mwanza akito burudani kwa wakazi wa Jiji la Mwanza
    Tiketi za Biko za Kuingia ndani ya uwanja wa Burudani
    Mmoja wa Timu ya Digtal, Salim Mlindila (Kushoto) wakijadiliana jambo na RDJ Spur
    Mkuu wa Kitengo cha TV E , Joshi (Kushoto) akitoa akiyajenga
    #KomaaConcert2018Mwanza OD (kushoto) @geoffreyn2000 akiyajenga na kiongozi wa ‘technical team’ @francis_nyoike
    #HatupoiHatuboi
    Timu ya Biko wanaohusika na hutoaji wa Ticket za kuingia ndani ya Kiwanja cha Burudani CCM Kirumba
    Timu ya nzima ya ulinzi ya Biko  wakiwa eneo la tukio kuhakikisah kila anayeshinda na Biko basi anapewa Zawadi yake.
    Eneo ambalo wageni rasmi watakapokaa na kushuhudia burudani itakayotokea ndani ya CCM Kirumba
    KomaaConcert 2018
    Timu nzima ya TV E ikiwa imejipanga kuweza kurusha kila kitu live kinachotokea kwenye uwanja huu waBurudani CCM Kirumba
    Nguvu ya Biko inafanikisha kuandaa stage ya burudani
    Bus lilobeba timu nzima ya Komaaconcert 2018 likiwasili kwenye uwanza wa Burudani CCM Kirumba Mwanza