Your message has been sent, you will be contacted soon

Call Me Now!

Close

JPM AWANYIMA USINGIZI MAWAZIRI WAWILI

Rais John Magufuli amewataka watendaji wanaosimamia mradi wa mabasi ya mwendo kasi jijini Dar es Salaam (Dart) kuhakikisha unaingiza faida kinyume na hapo hasara itakuwa kwao. Aidha, Rais…

UGANDA KUKIPIGA NA GHANA LEO

Kocha wa Ghana Avram Grant amesema anataka kufika mbali zaidi katika fainali za mwaka huu tofauti na ilivyokuwa mwaka 2015 walipofungwa na Ivory Coast kwa njia ya penalti….

HOLLANDE ASEMA ULAYA HAIHITAJI USHAURI WA TRUMP

Rais wa Ufaransa Francois Hollande amepuuzilia mbali hatua ya Rais mteule wa Marekani Donald Trump kukosoa sera ya Ujerumani kuhusu wahamiaji barani Ulaya. Bw Hollande alisema hatua hiyo…

MTU WA MWISHO KUTEMBEA MWEZINI AFARIKI

Mwana anga wa Marekani Gene Cernan, aliyekuwa binadamu wa mwisho kutembea kwenye Mwezi, amefariki dunia akiwa na miaka 82. Shirika la anga za juu la Marekani Nasa limesema…

RAIA WA CUBA KUANZA KUINGIA MAREKANI KWA VIZA

Marekani imesitisha sera ya muda mrefu ambayo ilikuwa inawapa raia wa Cuba hadhi maalumu ya kuingia na kuishi nchini Marekani bila ya visa. Serikali ya Cuba imekuwa ikilalamika…

MITANADAO YA UFARANSA ILIDUKULIWA MARA 24,000

Waziri wa ulinzi wa Ufaransa, amesema mitandao ya idara za ulinzi za nchi zilishambuliwa mara 24,000 mwaka jana peke yake lakini udukuzi huo ulizimwa. Jean Yves-Le Drian, alisema…

BORIS JOHNSON AKUTANA NA MAAFISA WA TRUMP

Waziri wa Mambo ya Nje wa Uingereza Boris Johnson amekutana na washauri wakuu wa rais mteule wa Marekani Donald Trump mjini New York, Marekani. Johnson alikuwa na shemejiye…

CRISTIANO RONALDO ATWAA TUZO YA BALLON d’Or

Mshambuliaji wa Real Madrid Cristiano Ronaldo amemshinda mpinzani wake Lionel Messi na kupata tuzo ya mchezaji bora wa dunia Ballon d’Or hii ikiwa ni kwa mara ya nne….

MPANGO WA UUZWAJI WA AC MILAN WASOGEZWA MBELE

Mpango wa uuzwaji wa klabu ya Ac Milan wasogezawa mbele hadi mwakani mwezi wa tatu. Klabu hiyo ya nchini Italy inayomilikiwa na aliyewahi kuwa waziri mkuu wa nchi…

MARTIN SAANYA NA SAMWELI MPENZU WAPIGWA CHINI

Waamuzi waliochezesha mchezo namba 49 kati ya Yanga na Simba, Martin Saanya na Samweli Mpenzu wametolewa kwenye ratiba ya Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara, huku suala lao…