Ladhaa 3600

JABIR SALEH
Kipindi hiki kimejikita Zaidi katika burudani na taarifa zake, pia Kuelimisha na kuwawezesha vijana kwa kuwaonyesha mafanikio ambayo vijana wenzao ndani na nje ya nchi wameyapata kupitia Nyanja mbalimbali ikiwemo muziki.

Muda

03:00-04:00PM