E-Sport

YUSUPH MKULE
Kipindi hiki hutoa Taarifa na Kuchambua Mijadala ya kimichezo/Kuburudisha na kuongezaupendo ushiriki wa michezo kwa watanzania wote

Segments

1. Soka La Nyumbani (7:00pm - 7:20pm)
2. Michezo Mchanganyiko (7:20pm - 7:30pm)
3. Habari Za Kimataifa Na Uchambuzi (7:30pm - 7:50)
4. Kibwagizo Cha Leo (7:57pm - 8:00pm)