Bustani ya Watoto

I am raw html block.
Click edit button to change this html

Kuelimisha na kufundisha watoto kwa kuwakumbusha wajibu wao shuleni, nyumbani na hata kwa watoto wenzao na wazazi au walezi wao. pamoja na kuwaburidisha

Segments

1. Ufunguzi (8:00am - 8:10am)
2. ABC (8:10am - 8:20am)
3. Dawati La Watoto (8:20am - 8:30am)
4. Mchezo Niupendao (8:30am - 8:40am)
5. Toto Kipaji (8:40am - 8:50am)
6. Katoon Yetu (8:50am - 9:00am)
7. Kapu La Aunt (9:00am - 9:10am)
8. Unafahamu? (9:10am - 9:20am)
9. Birthday Yangu (9:20am - 9:30am)
10.Toto Afya (9:30am - 9:40am)
11.Mpe Tabasamu (9:40am - 9:50am)
12.Hitimisho (9:50am - 10:00am)